Nimekuwa nikikuona na kukusikia ukimnadi mgombea wetu wa CCM Dr. Magufuli kwenye kampeni zinazoendelea. Unafanya kazi kubwa ukizingatia kuwa wewe ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi,Mjumbe wa Kamati Kuu na kada wa CCM.
Ndugu Abdallah Bulembo,chunga kauli zako. Leo,umesikika ukisema kuwa CCM haiwezi na haijawahi kuwaruhusu wapinzani kwenda Ikulu. Huu ni ufínyu wa kisiasa,kidemokrasia na kauli hatari. CCM haina mamlaka wala haki ya kuruhusu washindi kwenye uchaguzi.
Kauli hiyo itazua shaka na matayarisho ya kupambana. Hakuna haja hiyo. Chunga sana. Achana na fikra za chama kimoja. Kidemokrasia,wananchi ndiyo wanaowachagua na kuwaruhusu wa kwenda Ikulu. Si CCM. Epuka kukiangamiza chama chetu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
tatizo la Bulembo ni elimu ndogoNimekuwa nikikuona na kukusikia ukimnadi mgombea wetu wa CCM Dr. Magufuli kwenye kampeni zinazoendelea. Unafanya kazi kubwa ukizingatia kuwa wewe ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi,Mjumbe wa Kamati Kuu na kada wa CCM.
Ndugu Abdallah Bulembo,chunga kauli zako. Leo,umesikika ukisema kuwa CCM haiwezi na haijawahi kuwaruhusu wapinzani kwenda Ikulu. Huu ni ufínyu wa kisiasa,kidemokrasia na kauli hatari. CCM haina mamlaka wala haki ya kuruhusu washindi kwenye uchaguzi.
Kauli hiyo itazua shaka na matayarisho ya kupambana. Hakuna haja hiyo. Chunga sana. Achana na fikra za chama kimoja. Kidemokrasia,wananchi ndiyo wanaowachagua na kuwaruhusu wa kwenda Ikulu. Si CCM. Epuka kukiangamiza chama chetu!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mkuu angalia hao uliowataja elimu zao zikoje?hao niwa kupuuza tuHuyu na Lusinde machafuko yakitokea tuta???ra Hapo walipo hawana akili za kujiongoza
Mkuu kumbe mwigulu kibarua kimeota nyasiLazima JPM atamfukuza huyu mtu kwenye msafara wake wake wa kampeni kama alivyomfukuza Muigulu kwa kutukana wananchi
tatizo la Bulembo ni elimu ndogo