Bulembo: Hatutawaruhusu upinzani kwenda Ikulu

Bulembo: Hatutawaruhusu upinzani kwenda Ikulu

Washashindwa na wataachia hata kwa bakora
 
Yeye anaongea kama nani kwa maamuzi ya watanzania. Aruhusu kama nani. Ni nani kampa yeye mamlaka ya kuruhusu nani awe mtawala na nani asitawale. Hii ndiyo inawafanya watu wapige kura za hasira.
 
Bulembo aendelee kufuga wowowo tu! Hana alijualo kuhusu siasa za Tanzania! Tunamjua nje na ndani! asitake tumuanike hapa!
 
Hawa watu mbona wanakuwa kama wamevulugikiwa, kinini kimewapata? si wasubiri uchaguzi? kwani mtu kwenda ikulu ni hiyari au timu Fulani ya mpira kufungwa huwa ni hiari? Si kwa sababu inakuwa imezidiwa? Wasubiri uchaguzi wanainchi ndio watasema nani ataenda Ikulu kupitia sanduku za kura.

Kuna mambo Bulembo ana uwezo nayo kabisa kama kumwambia mkewe twende chumbani na siyo kumpeleka mtu Ikulu.Waliopo karibu naye wamweleze hili
 
Hormonie inbalanced huyu bulembo ni tatizo kubwa sana
 
Jamani CCM watu mnaopandisha majukwaani muwe mnawambia ya kutamka..tunaomba Nec wakemee watu kama Bulembo
 
Bulembo ni drs la 7 failure. Uelewa wake ni finyu sana. Ndo maana nchi imesimama kuongozwa na watu sampuli yake.
 
Najua watakataa ila jeshi litatenda haki kwa mara ya kwanza
 
Hizi ni mojawapo ya kauli za uvunjivu wa amani...
 
Back
Top Bottom