Akisifiwa hapa jf mbona hasemi chochote!
ni rafiki yake sana na "HATARI WEKA MBALI NA TEMBO"
Nani amsifie wakati anamwacha katibu wake wa chama anamaliza tembo wetu? Hana la kusifiwa, hii shehena ya pili ya pembe za tembo iliyokamatwa HongKong, ilikuwa inatosha kabisa kumfanya ajiuzuru, lakini ndiyo ile ile kasumba ya watanzania, akipewa madaraka basi kutoka ni hadi iletwe winchi hata kama hapo madarakani hana jipya.Akisifiwa hapa jf mbona hasemi chochote!
Nani amsifie wakati anamwacha katibu wake wa chama anamaliza tembo wetu? Hana la kusifiwa, hii shehena ya pili ya pembe za tembo iliyokamatwa HongKong, ilikuwa inatosha kabisa kumfanya ajiuzuru, lakini ndiyo ile ile kasumba ya watanzania, akipewa madaraka basi kutoka ni hadi iletwe winchi hata kama hapo madarakani hana jipya.
Ngoja tuingie chimbo turudi na habari za ndani zinazomuhusu ili azidi kutufanyia promo.
Akisifiwa hapa jf mbona hasemi chochote!
Katika biashara hii haramu, nahisi huyu katibu ni agent wa mkuu wa kaya na inaonekana biashara anaimudu vizuri na ndio akapewa nafasi hii kama kulipana fadhilla.
Hivi tujiulize kama sisi watu wa kawaida kabisa tumepata habari ingawa sio rasimi kuwa huyu jamaa huenda anahusika na hii biashara sasa inakuwaje anapewa cheo licha ya kashifa kama hii kumwandama!Ina maana mkuu wa kaya hana habari au taarifa hizi?Au ndio kusema habari hizi ni uzushi mtupu?Ikija ikithibitika kuwa anahusika na biashara hii, huyu mkuu wa kaya tumpe adhabu gani zaidi ya kumtimua madarakani?
Akisifiwa hapa jf mbona hasemi chochote!