Bukoba: Waziri Kagasheki asoma maoni ya wana JF jukwaani, adai ni uongo!

Safi sana Kagasheki umewatoa nishai wambea wa JF hawana cha kusema tena wamebakia kung'aa sharubu.
 
Wanabodi. JF sio ya porojo na udaku mkija JF njooni na data na facts za kutosha. Mnaona sasa Kagasheki kawapa za uso.
 
Back
Top Bottom