Duh, leo nimeamua kupost kiovyo ovyo. Bukoba vs Moshi, hapa unatudharau sana, unatakiwa uringanishe vitu vyenye league moja.
Mtazamo wangu; majengo, Moshi wapo juu, acha kabisa. Nilishasoma Bukoba na Moshi boarding, visiting day ndo nilijua Moshi ni town compared to Bukoba, Mzunguko wa pesa, still naona Moshi wapo juu, angalia vyuo vilivyopo Moshi na mashule, kwanza Moshi tourism ipo juu, Bukoba tourist aende kuangalia nini? Lake Victoria?
Ila let's not ignore the fact, Bukoba wanatoa Nshoma nshomile wengi compared to Moshi. Hapa ndo Moshi inapigwa. Escrow wengi from Bukoba, wanasheria wengi from Bukoba...
Nakukumbusha huo ni mtazamo wangu tu. Na vilevile mimi home town, Bukoba so I might be biased.
-callmeGhost
Mjomba, acha utapeli hapo umeweka picha za miji mingine unadai ni Moshi, acha hizo, hakuna malipo hapa.
Jango la NSSF KILIMANJARO
KILIMANJARO MOUNTAIN
Round about ya KCMC, KILIMANJARO N/PARK NA ARUSHA
Katikati ya manispaa
Jango la stend kuu ya mikoani,
Bado sehem kibao sijaziweka hapa.
hatuongelei wasanii...hata uwoya tu gemuweka tunaongelea MissWalimbwende cheki Wa bk Angela kairuki,malaika,lulu Michael,madam Rita,
na hatuongelei wa kuolewa kwani Angela Kairuki ni wakuolewa...Walimbwende cheki Wa bk Angela kairuki,malaika,lulu Michael,madam Rita,
Mkuu umeona bk hyo, acha kusikiliza wafitini, anyway karibu beach huku upepo mzuri, moshi joto utafikiri unapikwa[emoji12]Niambie jengu hambalo limewekwa picha na halipo moshi
Nakubaliana na wewe, ila Dar kwa ukweli hakuna ya kufanana nayo. Labda manispaa zake ndo ufananishe na majiji yetu mengine hasa kwa idadi ya watu na ukubwa wa eneo la mji proper.Bukoba na moshi ni miji tofauti sana. Fananisha Bukoba, musoma, kigoma, sumbawanga, songea, shinyanga, singida. Fananisha Moshi, Morogoro, dodoma, Iringa. Then Njombe, Babati, Geita, Mpanda, lindi. Halafu Dar, Mwanza, mbeya, arusha, Tanga. Kwa mlinganyo huu Sawa. Moshi ni manispaa inayoelekea kuwa jiji wakati Bukoba ni manispaa ambayo bado ina harufu ya halmashauri ya mji.
Mimi sio mwenyeji wa mikoa yote miwili, ila nimeishi katika miji yote miwili kwa muda tu wa kutosha mjini na vijijini. Moshi ni mji mzuri na mkubwa kulinganisha na Bukoba. Hata idadi ya watu Bukoba inazidiwa na Moshi na sababu kubwa ni upande wa usafiri, hakuna ruti zozote za daladala katika mji wa Bukoba. Kila unapokwenda lazima upande Bodaboda labda kama unaenda wilayani.
Bukoba mzunguko wa hela ni mdogo sana kulinganisha na Moshi.
Kwa upande wa miundombinu Moshi wapo juu sana.
Kwa mandhari, Bukoba yaweza kuvutia kwa sababu ya Ziwa na vilima kuwa vingi.
Kuna mdau alielezea kuhusu majengo mazuri yapo zaidi katika wilaya za Kagera kuliko Bukoba mjini. Kama huamini hivyo nenda Karagwe(Kayanga mji) na eneo la Bunazi (Missenyi) watu wanapajenga sana.
Kwa mpangilio wa mji bado Moshi inaizidi Bukoba.
Moshi ni mji mdogo kwa eneo lakini ni mzuri na msafi.
Hata kwa idadi ya vyuo vikuu vyenye kuheshimika vipo Moshi;KCMCo,Mwenge,Ushirika nk.
Hiv thread inasemaje
Weka picha, acha maelezo mengi. Bukoba imewekwa na pako vizuri.Duh, leo nimeamua kupost kiovyo ovyo. Bukoba vs Moshi, hapa unatudharau sana, unatakiwa uringanishe vitu vyenye league moja.
Mtazamo wangu; majengo, Moshi wapo juu, acha kabisa. Nilishasoma Bukoba na Moshi boarding, visiting day ndo nilijua Moshi ni town compared to Bukoba, Mzunguko wa pesa, still naona Moshi wapo juu, angalia vyuo vilivyopo Moshi na mashule, kwanza Moshi tourism ipo juu, Bukoba tourist aende kuangalia nini? Lake Victoria?
Ila let's not ignore the fact, Bukoba wanatoa Nshoma nshomile wengi compared to Moshi. Hapa ndo Moshi inapigwa. Escrow wengi from Bukoba, wanasheria wengi from Bukoba...
Nakukumbusha huo ni mtazamo wangu tu. Na vilevile mimi home town, Bukoba so I might be biased.
-callmeGhost
Sidhani kama unawez kupata view nzuri hivyo ya mji wa MoshiKulinganisha Moshi na Bukoba ni kulinganisha King'amuzi cha DSTV na Continental au ITV na TBC.
Uchumi wa Moshi unakua kwa discpline ya hali ya juu sanaDogo ana bahati this time of the year hatuna muda wa mabishano tunakula mbege tu..
Ila tumempa homework ndogo tu ya TRA amebaki kuhahahaha na vipicha uchwara
Shida wanaishia one way tu na uswaxi ni sawa na kufika mwanza na kuishia mabatini kwenye lodge umefika kashura, ukaona kibeta jee,nkindo,nyamukazi, bandarini custom nk,hotel kama coffee,bugabo,ruhunga,prince motel,sky,victorious,upendo,kolping ,walkguard,kiroyera,stalla,elct,lake view nkHamna kitu brother nimefika huko Na nimekaa week lodge zenyewe zinanuka uvundo.paka camp ,buyekera miembeni,government,uswahilini kote nimefika Hamna kitu!town ndo q bar Na ndo Malaya wanajiona wame fika yan utatuma Picha lakini kwa Mtu aliefika ataona Hamna kitu
Kimsingi Moshi imegalagazwa na Bukoba, hilo liko wazi. Moshi ni ndefu imefuata barabara tu kiurefu haiko kimpangilio kama huo wa Bukoba, uzuri nimefika Moshi ila sijafika Bukoba, ila kwa picha hizo alizoweka mdau, bukoba pako vizuri,na sababu iko wazi, wachaga wengi waliofanikiwa kimaisha wamejenga wilayani na vijijini kwao, hivyo kwa hali ya wilaya au vijiji vya Moshi ni vizuri kuliko vijiji vingi vya Tanzania. Wangejenga sana mjini Moshi basi hata Arusha ingezidiwa.Mjomba, acha utapeli hapo umeweka picha za miji mingine unadai ni Moshi, acha hizo, hakuna malipo hapa.
Picha unayoita katikati ya Manispaa ni picha ya Mwanza mjini, kwenye sanamu ya Nyerere, katikati ya mkutano ya barabara ya Nyerere na Kenyatta kwenye mzunguko jirani na Tunakopesha Limited na njia panda ya kuelekea Police Central na bandarini. Kwa mbali hospitali ya Bugando inaonekana.
Picha nyingine mbili za juu, mojawapo ipo chini ya ile unayoita ni round about ya KCMC, pia siyo ya Moshi. Hiyo na ya chini yake ni picha za Iringa, zilizopigwa Juu ya usawa wa MR Hotel, zinazoionyesha Dodoma Road, kwa mbele inaonekana Kalenga Hotel na ghorofa la Asas kama unapandisha kutokea Manispaa kuelekea Mlandege kupitia uwanja wa Samora.
Mjomba nasikia nyie mnapenda sana magumashi, nilidhani ni kwenye mtonyo tu, kumbe hata picha mko radhi kuduplicate ili kuwin argument!
Mimi sina upande ila uongo ndo uache maana humu siyo wote hatujaitembea vizuri nchi yetu. Ukipenda ongeza na za Mbeya ili ushinde zaidi. Maana Nahisi pia umepost nyingine za Tanga na Arusha
Nampongeza wa za Bukoba kwani yule yeye hajaongeza za miji mingine.