Bukoba vs Moshi

Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Hahahaha juz nlikua bukoba Ovyo kabsaaa hivi ile Ndiyo Stand au zizi la ng'ombe??? Round about ya mgomba Hahahaha hakuna nyingine tena chemba ipo ipo mliman Kama kule rongai taveta Eti ni mjin

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu mji mdogo wa tarakea rombo unaizidi kwa mbaali bukoba cheki hapo chini eti ni bukoba mjin duhh mavumbi télé ndio.maana funza hawaishi huko
tapatalk_1548810371901.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanya maksudi maana nyie huwa mnapenda kujifanya eti mna ubavu wa kupimana na moshi ,kwahiyo nimefanya maksudi kuwaumbua hata ule Uzi wa bilion 7 za vunjo nimewaumbua mmebaki na aibu mm huwa napenda kuumbua wanaojidai kumbe hawana kitu
Bukoba lèvel yake ni mamlaka ya mji mdogo wa ushirombo sio jiji tarajiwa la la Moshi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kwenye ule uzi umetuumbua turudi kule basi! Kama utathubutu kutia mguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom