sundoka
JF-Expert Member
- Oct 9, 2011
- 2,067
- 2,763
Ukaskazini utakupa nini sasa?? Mnalalamika kila siku watu wa kanda ya ziwa hawawapendi wakati ukanda na ubaguzi mnauasisi nyinyi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukaskazini utakupa nini sasa?? Mnalalamika kila siku watu wa kanda ya ziwa hawawapendi wakati ukanda na ubaguzi mnauasisi nyinyi.
Boss umesoma kichwa cha uzi? Bukoba imetoka wapi? Hivi hakuna discussion ya Moshi bila Bukoba?? Hebu kuweni na akili mpya basi mnajidhalilisha.Tembea ht vijiji vya moshi.
Rombo
Kilema
Mwika
Marangu
Tarakea
Machame
Boma
Sanya
Sadala
Hizo vijiji huwezi fananisha na bukoba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss na Chato je? Au mkulu anatoka Bukoba??Hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi ,Bukoba ni takataka mbele ya Moshi.



Usisahu HimoTembea ht vijiji vya moshi.
Rombo
Kilema
Mwika
Marangu
Tarakea
Machame
Boma
Sanya
Sadala
Hizo vijiji huwezi fananisha na bukoba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha juz nlikua bukoba Ovyo kabsaaa hivi ile Ndiyo Stand au zizi la ng'ombe??? Round about ya mgomba Hahahaha hakuna nyingine tena chemba ipo ipo mliman Kama kule rongai taveta Eti ni mjin
Umeona stand yao na round about ya mgomba Hahahaha mzee baba??Niko hapa mkuu na leo niko huku kwa wapenda ligi wenzio kina nshomile
Ulishaona round ya mgomba Hahahaha nenda bkSasa kuna haja ya kufananisha na Bukoba? Mbona kama akili yenu imegandia Kagera? Wahaya waliwabaka?? Mbona kila siku wao?? Nadhani ni wakati wenu wa kujipima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa lipi? Ana ubavu huo? Hapa anasoma tu comment anaogopa kutia mguu
Hahaha si mlikuwa mnapenda ligi ya Moshi? Nilikwambia level Yako ni musoma au tarime sii moshiMnatuchosha na hizi nyuzi jamani. Hebu fikirieni hata vingine vya maana vya kupost. Kila siku Moshi, Bukoba, Kilimanjaro, Bukoba.
Tuna mengi ya kujua kutoka pengine pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefanya maksudi maana nyie huwa mnapenda kujifanya eti mna ubavu wa kupimana na moshi ,kwahiyo nimefanya maksudi kuwaumbua hata ule Uzi wa bilion 7 za vunjo nimewaumbua mmebaki na aibu mm huwa napenda kuumbua wanaojidai kumbe hawana kituSasa kuna haja ya kufananisha na Bukoba? Mbona kama akili yenu imegandia Kagera? Wahaya waliwabaka?? Mbona kila siku wao?? Nadhani ni wakati wenu wa kujipima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kosa gan nikisifia juhudi zetu za kimaendeleo? Nyie watu mna roho ndogo mno na nyie fanyen maendeleo mjisifie dadadeqUkaskazini utakupa nini sasa?? Mnalalamika kila siku watu wa kanda ya ziwa hawawapendi wakati ukanda na ubaguzi mnauasisi nyinyi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tembea ht vijiji vya moshi.
Rombo
Kilema
Mwika
Marangu
Tarakea
Machame
Boma
Sanya
Sadala
Hizo vijiji huwezi fananisha na bukoba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Leo umekuwa mpole si huwa unapenda kudai picha? Sasa nimeziweka teleeBoss umesoma kichwa cha uzi? Bukoba imetoka wapi? Hivi hakuna discussion ya Moshi bila Bukoba?? Hebu kuweni na akili mpya basi mnajidhalilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha tunawaumbua nyie watoto wa bk mnaotaka kujilinganisha na babu zenu Moshi msirudie ata cku moja mtaumbuka,bk level yake ni mji mdogo wa ushirombo bukombe
Waache waendelee kuichukia mwishowe wataaibika waoKilimanjaro ni next level ila wapumbavu huichukia sijui kwann
Wamekalia mbwembwe tu na majungu eti ndio walikuwa wanajipima ubavu na moshi,yaan uifanamishe bk iliyojifia na jiji tarajiwa lá Moshi? Hawa watu wanahitajika kufanyiwa check up ya akilistend ya bukoba kwa kweli inatia aibu mpaka leo.wahaya mjitafakari