jenerali kibibi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,167
- 630
kwenu ndio kunakucha cc kwetu kulishakucha zaman sana mkuuWe si umesema bukoba hakuna majengo hayo .shida mnaibeza sana na kupaponda bk sana hasa watu wakilimanjaro ndo maana tumeamua kuwaonesha bukoba halisi inayokua kwa kasi na kupanuka haraka .hilo jengo ni nyumba ya kuishi ya Anna tibaijuka ambayo aliijenga kwa heshima ya Mme wake aliyazaliwa hapo kibeta mlimani na wanaishi ndugu wa Mme wake
Sasa huo unaweza linganisha na wa bukoba?.hivi kwa nini mkulu ametoa billion tisa zitumike kuupanua uwanja wa bk ili upokee ndege zaidi maana abiria ni wengi fuatilia hotuba yake ya Nov 7 pale airport. Mimi ninaongea kwa ushahidiNi sawa ni moshi airport lakin huwez ulinganisha na huo wa bk kwa idadi ya ndege zinazoingia na kutoka
Duuh we mkali umetuwekea hadi picha za ujenzi wa shuleKwa mijengo its over bk iko juu hiyo ni ihungo estate na ujenzi unaendeleamoshi mpo na bado nawakusanyia picha za bk
Hata uingereza ina majengo yaliyojengwa mika 100 na yanatunika mpka leo na bado yana mvuto.. Old town hazi vinjwi.. Na moshi nayo ina maeneo mapaya yanayo inuka ... Sasa habiadiliki kivip??Kumbe ndo maana moshi haibadiliki na inakaa hivyo na majengo makongwe
Shule kama hiyo haipo bongo nzima.nitajie shule gani tz yenye maghorofa 10 na froor NNE tz .juzi waziri amekataza isije ikawa chuo .na kuna nyumba zaidi ya 30 za walimu hapoDuuh we mkali umetuwekea hadi picha za ujenzi wa shule
Wachaga wanapenda kiki kama bwana yule, kifupi Moshi is overrated, ukitoa uoto wa asili na weather ni pakawaida tuMoshi ina mbuga ya wanyama??? Kuna watu mmelewa kabisa! Moshi hakuna mbuga za wanyama, zipo wilaya zingine za Kilimanjaro. Huu uzi ni "Bukoba" na sio Kagera vs "Moshi" sio Kilimanjaro! Tulieni mpigwe hivyo hivyo
Mkuu utakufa cku siyo zako....na Mungu alivyo waajabu sasa intermarriage kati ya wachaga na wahaya ni kubwa mno.....haswa wanaume wakihaya wanawagonga na kuwaoa wachagga kama hawana akiri nzuri... ...fanya kautafiti ka twaweza juu ya hili utapata jibu....Mkuu Mbona umefika mbali sana .....!!?
Take it easy
Mkuu utakufa cku siyo zako....na Mungu alivyo waajabu sasa intermarriage kati ya wachaga na wahaya ni kubwa mno.....haswa wanaume wakihaya wanawagonga na kuwaoa wachagga kama hawana akiri nzuri... ...fanya kautafiti ka twaweza juu ya hili utapata jibu....
Pole sana mkuu kwa chuki binafsi...
Mji gani?Bk ni villa tu sema mna umeme na barabaraIla kuna miji inakua kwa kasi hasa ya kanda ya ziwa ,
Sio yeye aliyesema hivyo msameheMkuu utakufa cku siyo zako....na Mungu alivyo waajabu sasa intermarriage kati ya wachaga na wahaya ni kubwa mno.....haswa wanaume wakihaya wanawagonga na kuwaoa wachagga kama hawana akiri nzuri... ...fanya kautafiti ka twaweza juu ya hili utapata jibu....
Pole sana mkuu kwa chuki binafsi...
Kuna MTU kasema mtotowake akiwa rafiki au kuolewa na muhaya anampa laana!!!! Siyo wewe mkuu??Utakuwa umeninukuu vibaya.....
Naitakuwa chuki binafsi kwa kizazi chagu chote .. I got nothing to loss but trash and humiliations from damn peopleMkuu utakufa cku siyo zako....na Mungu alivyo waajabu sasa intermarriage kati ya wachaga na wahaya ni kubwa mno.....haswa wanaume wakihaya wanawagonga na kuwaoa wachagga kama hawana akiri nzuri... ...fanya kautafiti ka twaweza juu ya hili utapata jibu....
Pole sana mkuu kwa chuki binafsi...
Utakuwa punguwani mkuu.....huwezi mpangia binti yako moyo wake kudodokea kwa handsome wa kinshomilee.... Nakwambia hivi atagongwa mti na mimba juu nshomile stamtundika....Naitakuwa chuki binafsi kwa kizazi chagu chote .. I got nothing to loss but trash and humiliations from damn people
Nashukuru nimefanikiwa kuzui mdogo wangu wakiume kuingiza mwanamke wakihaya katika ukoo wetu.. Na mahari nika mwambia, awaachie na asigeuke nyuma, na nika mrudishia hela yote aliyo gharamikia hadi kumvisha pete atafute binti kabila lolote lakini siyo muhaya ... Kinyaaa muhaya ni haya wani wa akili na mwehu wa mahisha .. Ukio mhaya kwanza ni kuleta umasikini na majigambo ya kipumbavu.... Ful stop.Mkuu mhaya alikukimbiza darasani nini? Au Dada yako alipigwa katerero? Maana una jaziba kweli na wahaya