randez vous
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 890
- 621
Hata Dar pachafu kuliko moshiNiliwai kufika bukoba pia moshi nisawa na kulinganisha manzese na posta moshi pazuri licha ya Uzuri wake pia ni moja mji msafi sana bukoba pachafu baathi ya sehemu lami hamna kiukweli bado sana izo picha zimepigwa kwajuu tu ila chini hatari
Na Mwanza nako ni Moshi!!!?
Jango la NSSF KILIMANJARO
KILIMANJARO MOUNTAIN
Round about ya KCMC, KILIMANJARO N/PARK NA ARUSHA
Katikati ya manispaa
Jango la stend kuu ya mikoani,
Bado sehem kibao sijaziweka hapa.
Hahahahukizidiwa unaomba msaada
Naona na maeneo mengine ya Arusha yashahamia MoshiView attachment 451165 View attachment 451183 View attachment 451185 View attachment 451188 View attachment 451191
Ngoja tuwasaidie, ni mji mdogo lakini ni pasafi
Majengo ya serikali ni ya wale wahindi waliopo migeyo umefika miembeni wewe,kashura kibeta,rwamishenye,jamhuri road,kashozi road, hamugembe je nshambya mafumbo, kahororo,ihungo jee bk haufahamu kumbe kufika stend ya bukoba ni kama nyegezi na mwanza bk hauifahamu hizi hotel za serikali?Bukoba the worst place I've ever seen,sehemu ya kula Hamna ,mjini katikati majengo yote au by 90 percent Ni ya serikali.
Tumeweka hotel nyingi tumia facts kwenyr kutoa hoja.majengo ya serikali mji umekuwa capital city lininabidi pia uangalie na utamaduni wa eneo husika. kule hawana utamadunu wa kula kwenye mabarabara. watu wanapenda zaidi kula chakula kilichoandaliwa nyumbani. ni aibu mtu kula kwa hotel. kwa hiyo biashara ya hotel kwa ujumla kule si nzuri
Akikujibu niiteAcheni kufananisha kifo na usingizi, huo unaouita uzuri wa majeng wa Bukoba una implication gani katika uchumi wa sehemu husika?
Embu kodoa macho kwenye hizi takwimu za TRA uniambie hiyo Bukoba yako inaingia vipi kwa Kilimanjaro
View attachment 451273 View attachment 451274 View attachment 451275
Moshi Pa Kawaida Sana.. Msivimbe vichwa.. Hamna Cha ajabu.. Ni kama maeneo mengine tu ya bongo...Jamani ebu msikinganishe moshi na bukoba ata kidogo.Moshi ni level nyingine papo juu sana.Kabla ujajilinganisha na moshi ebu angalia kama umeweza kuifikia morogoro,Dodoma,iringa,kahama etc kwanza.
Moshi Pa Kawaida Sana tu MkuuAcheni kufananisha Moshi na Bukoba aisee. Labda muifananishe Bukoba na Tarakea au Mkuu Mjini ( Rombo) ila siyo Moshi