Mkuu hata uwachinje hawana baada ya kuwakataza wasilete lile la nssf tumelichoka wamebaki kupiga porojo tu.Nawaona wachaga wanapinga kwa maneno tu bila kuweka hata kapicha kusapoti porojo zao.
Sijawahi fika Bukoba lakini kwa muonekano wa picha hizo Moshi haitii maguu hapo.
Nikiambia Mimi naitaka nini hiyo familia nisemeje,wakiniita IS niwajibuje,Au nikiambiwa nisiejulikana nimejitokeza,zipo nyingi saana sio kumi wa ishirini ni zaidVilete tuvione kama vimekosa moshi mjin vitapatikanaje huko migombani???
Safi sana, alafu mkuu hii staili ya upangaji matofali huwa inaitwaje?? Kwakweli huwa naipenda sana na utanipata kagera (kwa wahaya tu)Endelea kuamini hivyo hebu nikulete hapa Royal fountain hotel bukoba.karibu bukoba
Kwa lipi mpaka umeamin au na wewe ni walewale wa rombo!!!Kweli wahaya ni watu wa kujikweza nimeamini leoooo
Daah hapa kwenye chakula au sehemu ya kula Bk a.k.a Burkina Faso nilichoka aiseee unadhurura mji mzima hupati sehem ya chakulaBukoba the worst place I've ever seen,sehemu ya kula Hamna ,mjini katikati majengo yote au by 90 percent Ni ya serikali.
Mkuu huko kwa wenzetu vyuma vimekaza sana wanashangaa Hivi vitu vya bkMoshi walishakimbia zamani hebu tuone hii hotel pk hill top hotel
Hizo hotel umeziona shida ulikuwa mshamba sana na ulianza kushangaa shangaa tu na kucheki milima ilivyo na majumba au unawaogopa kuwaproach wahaya.bukoba ni moja ya miji michache nchini yenye hotel nyingi,cafe,resorts, na pub nyingi kama picha zinavyojieleZa sio porojo zakoDaah hapa kwenye chakula au sehemu ya kula Bk a.k.a Burkina Faso nilichoka aiseee unadhurura mji mzima hupati sehem ya chakula
Wacha niwaue kabisa na hii smart hotel nyamkazi bukoba