The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,799
- 1,681
Mkuu wnaanzishaga wenyewe hizi nyuzi za kutuponda alaf zinawageuka kupiga porojo tu. Siku nyingine wajifunze adabu sio kuparamia watu hovyo [emoji23]Nina imani umeandikabhaya umejishika kiuno kwa nyodo. Maana mshakuwa mashangingi kwa maneno. Picha walaaaaa.
Rombo hiyo inazidiwa na kemondo mbali sana tena sana.na moshi mkizubaa kemondo itawazidi hasa meli ikianza safari zake hukoKupiga picha na kuleta hapa ni moja ya dalili za ushamba.
Bukoba nimefika, Ni mji wa kufananishwa na Rombo au Same
Hapo kuna ukweli wa asilimia kubwa sana haswa vijiji, wao wanafuatana tuNarudia kuwaonya ndugu zangu watz usiende kuanzisha bihashara kilimanjaro kama wewe sio mchagga utajinyonga bure!!!!!
Stendi mpya inayojengwa hii hapaDuuuuu naweza sema naijuwa bukoba vizuri sana. Kuanzia BUKOBA MJINI, VIJIJINI, MISENYI, KARAGWE,nk.yaani kifupi naijuwa KAGERA. Kiukweli kuilinganisha BUKOBA MJINI NA MOSHI MJINI ni kituko sana. Labda mseme moshi haina fukwe za Ziwa tuu lakini vingine vyote hapana. Stendi yenyewe tope. Zikipaki gari kubwa 30 imejaa kabisa. Ivo ukiwa umeshatembelea na Moshi uje.
Hivyo vi hotel vyao mbona huku ni nyumba za watu huku migombaniyaan hawa watu n washamba hatari
yani wana post vi guest vya vyumba vitatu ati huko kwao ndio mjengo duh
Vilete tuvione kama vimekosa moshi mjin vitapatikanaje huko migombani???Hivyo vi hotel vyao mbona huku ni nyumba za watu huku migombani
Mkuu nilipitia uzi wao mmoja unaoonesha rombo nilishangaa sana maana niliishia kuona jengo moja la hospitali I think ni ya wilaya inaitwa Huruma hospital. So kwa majengo yaliyoporomoshwa pale kemondo kwakweli itabidi watu wa rombo wanishawishi tena tofauti na rombo niliyoiona humoRombo hiyo inazidiwa na kemondo mbali sana tena sana.na moshi mkizubaa kemondo itawazidi hasa meli ikianza safari zake huko
kumbe hats haijajengwaStendi mpya inayojengwa hii hapa