Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
we uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana wenzio wanajadili maendeleo ya miji na miundombinu wewe unatuletea hali ya joto,kwani joto ndo linazuia vipi kujengeka kwa mji?? chukulia mfano hali ya joto ya pwani n.k
 
Hiyo ni moshi mkuu, inaonekana huijui vizuri moshi.
huyo hapajui moshi akili yake inamtuma ni iringa kwakuwa alisoma pale chuo cha kata ila hapafahamu moshi.ila mimi nawashangaa sana watu wanafananisha miji hii miwili ni aibu na fedheha kuifabanisha moshi na bukoba wanaojenga nyumba zinazobomoka kwa mvua tuu ya upepo au katetemeko kale ka juzi hoi hawajiwezi aibu sana,hivi matetemeko yanayotokeaga moshi yangetokea bukoba si kilio miaka yote??miundo mbinu wanayijisifu nayo siyo ya kiwango na ndiyo maana wako ivo kujisifia tuu kila kona aibu sana.Moshi kama moshi itabaki kuwa mishi ukubali au ukatae wewe wa bukoba jipe moyo au jifariji kwa kujidanganya kuwa bukoba mpo juu ya moshi aibu sana,pigeni kazi acheni sifa za kipuuzi.
 
Kibosho Moshi vijijini

Hapo ni Kibosho kijijini lakini maji ni ya bomba safi na salama huku wanawake wanaobeba mitungi ya maji vichwani wamewaonea kwenye TV na visima huko ni msamiati.
Cheki bukoba vijijini
 
Unacheza na tetemeko et ehhh halijakupata ndo maana ushamba tetemeko unalisikia kwenye TV tu waulize mwenye experience like si kitu cha mchezo
 
Yaani nimekuchapa bakora za vijijini mpaka umepabadili bukoba mjini saivi unapaita vijijini.???

Moshi ni jiji la kitalii unalinganisha na mji Wa kilimo na ufugaji Kwanza bukoba inachangia kipi kikuu katika pato la taifa? Bukoba ni ya ngapi kwa ukusanyaji wa mapato? Development index ya bukoba ipo vipi ukilinganisha na Moshi? Sababu sio tunabishana tu kizumbukuku wakati ukweli wote upo plain na nikikuletea hapa utaaibika na ngoja nzileta statistics zote
Cheki bukoba vijijini
 
Asante sana nazipokea pongezi hizi nakukaribisha sana Moshi uje uburudike zaidi huku ulaya ndogo
Tafuta hata miwani ya mbao basi ili uone. Kiukweli nimeipitisha rasmi Moshi ni balaa aisee wachaga hongereni sana nimependa bure.
Bukoba utadhani Burundi bana teh teh teh wahaya msinipige mawe.
 
Vitu vingi ni vya uongo picha za kilimanjaro ni za uongo. Anachanganya na picha arusha na Nairobi. Moshi pa kawaida sana tofauti na wanavyojisifia
 
Cheki bukoba vijijini
Bukoba vijijini kwa Moshi itasubiri sana mdau amini hivyo jamaa wapo mbali na ukifika huko kuna.mitaa ipo kijiji lakini hizo nyumba na migarden zake hata pale masaki peshakuwa uswazi wanasubiri unapata chakula ya akili
 
Mkuu huyo jamaa nna wasiwasi ametoroka mirembe....!maana ni mbishi sijapata kuona..!anafikiri hiyo bukoba anaifahamu mwenyewe tu kumbe watu wanaifahamu vizuri tu ni choka mbaya.
Aisee Mchome Junior huyu jamaa anazani bukoba ni bab kubwa sababu ya lack of exposure hajawahi kwenda popote nje ya kagera uzuri amekiri mwenyewe Moshi ameijulia star TV ndio maana naenda nae taratibu ni ushamba tu unamsumbua.
 
Panavutia kwa kweli hospital kama hiyo mikoa mingine ni hospital ya wilaya au ya mkoa au ya kanda au ya rufaa lakini Kilimanjaro ni hospital ya kawaida tu inayohudumia watu wachache sababu ya wingi wa huduma bora za Afya kila kona Kilimanjaro
Machame hospital
 
Ni kweli lazima zikuchanganye kama hukutarajia moshi ingekuwa hivyo ila ukweli ndio huo na hizo pictures ni chache sana kama unavyojua majumba huku yamejificha migombani ni vigumu kupata pictures nyingi sababu nyumba zimeachana sana na moshi vijijini ni kubwa mno.

Na hapo sijaigusa kabisa Rombo, Mwanga, Same, Usangi ni balaa
Vitu vingi ni vya uongo picha za kilimanjaro ni za uongo. Anachanganya na picha arusha na Nairobi. Moshi pa kawaida sana tofauti na wanavyojisifia
 
Yeah hapo ni hot spring chemka maji moto hahaha natural jacuzzi watalii wanapakubali sana hapo ni mara 100000 ya Lake Victoria kabisa
Asanta sana, huyu jamaa anayefananisha Moshi na Bukoba ni kichaa...
Ni sawa na New York (moshi) na Dar (bukoba)
 
Sasa unatuletea picha za misitu na vichaka tuoneshe moshi halisi tutaaminije ni moshi
 
Kibosho kijijini hapo ni Kibosho Primary School with some students having fun on the foot of the Kilimanjaro Mountain.
 
Kama Moshi ni dormant basi hata sector ya utalii nchini ni dormant sababu Kilimanjaro inachangia zaidi ya 87% in tourism cash na sector ya utalii ndio ya pili kwenye kuchangia pato la taifa ikitoka kilimo
Dormant kweli ndo maana mlima umeibwa siku hizi ni wa Kenya.moshi mnatuaibisha mno hamuutangazi vizr mlima huo.mnazidiwa na wanabukoba wanausifia mji wao na kuutangaza vyema mji hata kama wanapenda sifa mno.
 
Tafuta hata miwani ya mbao basi ili uone. Kiukweli nimeipitisha rasmi Moshi ni balaa aisee wachaga hongereni sana nimependa bure.
Bukoba utadhani Burundi bana teh teh teh wahaya msinipige mawe.
Unaota wewe acha chuki kwa wahaya acha uchabiki
 
Unaota bado
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…