Hawa wakishuka stendi wakaenda amugembe kwenda Muleba na Kyaka wanadhani kagera iko ivyo. waambie wakae waone kagera kulivyo.Majengo ya serikali ni ya wale wahindi waliopo migeyo umefika miembeni wewe,kashura kibeta,rwamishenye,jamhuri road,kashozi road, hamugembe je nshambya mafumbo, kahororo,ihungo jee bk haufahamu kumbe kufika stend ya bukoba ni kama nyegezi na mwanza bk hauifahamu hizi hotel za serika-gallery/0a6e11f12dc249274197e0cfd4f92762.jpg[/IMG]
Kutangulia sio kufika bukoba ilikuwa inaizidi mwanza miaka ya hamsini,sitini,na sabini lakidi ilikuja kuzidiwa na mwanza,sababu ya majanga yaliyoikuta bk.halafu bk ilitangazwa miaka ya tisini sio elfu mbili.sasa hivi bk inakuwa kwa kasi mzee ukiangalia watu wanavyojenga uwezi amini.mpaka milimani yote inayozunguka bk ilishaparamiwa na majumba kama huu Wa kilimahewa na kashura.huu mlima ilikuwa unaogopwa kujengwa mwaka 2013 lakini ona ulivyoparamiwa mwaka 2015 na 16Hilo jengo ni NSSF moshi labda kama ww ni mbishi wa asili. Mnatumia nguvu nyingi kulazimisha mji uliotangazwa manispaa miaka kumi iliyopita na moshi iliyopata hadhi hyo mwaka 1988? Moshi iko kwenye mchakato wa kuwa jiji poleni sana. Kwa kifupi kanda mbalimbali kuna miji imeimeza mingine na kuiacha mbali sana hadi ikaja kutumika nguvu ya kisiasa kuipandisha hadhi miji iliyodumaa mwanza na mbeya ni mifano. Iliimeza sana miji inayoizunguka. Ni tofauti na kaskazini arusha Tanga na moshi. Ukiacha miji iliyopewa hadhi ya jiji, miji ya kulinganisha na moshi ni Dodoma Moro na iringa tu
Yani moshi mji Wa kitalii lakini kwa hotel mko hoi mnazidiwa na bk mji unaokua kwa kasi kibiasharaHiyo nini? Hotel au!! Tunataka tujue vitu vinne tu. Town plan, infrastructure, social activities, population, and income ya mtu mmoja mmoja. Kwamfano Gaborone na Dar ukizilinganisha kila jiji linatofautiana na lingine. Ila kwa ujumla Gabs iko juu sana kuliko Dar.
Hata Zanzibar ilikuwa inaizidi Dubai miaka ya sabini mkuu. Majanga yapi yaliifanya bk ikazidiwa na mwanza? HIV au tetemeko? NielewesheKutangulia sio kufika bukoba ilikuwa inaizidi mwanza miaka ya hamsini,sitini,na sabini lakidi ilikuja kuzidiwa na mwanza,sababu ya majanga yaliyoikuta bk.halafu bk ilitangazwa miaka ya tisini sio elfu mbili.sasa hivi bk inakuwa kwa kasi mzee ukiangalia watu wanavyojenga uwezi amini.mpaka milimani yote inayozunguka bk ilishaparamiwa na majumba kama huu Wa kilimahewa na kashura.huu mlima ilikuwa unaogopwa kujengwa mwaka 2013 lakini ona ulivyoparamiwa mwaka 2015 na 16
Hivi ndio vivutio vya kitalii huko bukoba?Hata bk wapocheki wakitazama utamaduni na nyumba za kale za wahaya nyaruju
Aisee hizi nyasi mnazotandaza ndani ni chanzo kikubwa cha funzaHata bk wapocheki wakitazama utamaduni na nyumba za kale za wahaya nyaruju
Hawa wazungu watakuwa wananatokea Romania hawa. Mtalii aende bukoba kutafuta nini?Hii ndo moshi eeh aisee bukoba inawagalagaza na sifa zote mnazozipa moshi kama wazungu tunao wengi tuu na utalii ni mwingi cheki
Ha ha wanautangaza umasikini walio nao.Aisee hizi nyasi mnazotandaza ndani ni chanzo kikubwa cha funza
Tetemeko, vita vya kagera,milipuko ya mabomu mwaka 94,utelekazaji Wa mkoa huu miaka ya 80, na 90 wakati bk ilijengwa kibepari lakini socialism ilikuja ikaaribu muundo na ukuaji Wa bk kwa kiasi kikubwa shule,viwanda,mashirika,majengo na vingine vilikufa,bk ilikuja kuamuka tena miaka ya 2000 tu ambayo imekuwa kwa kasi sana.na kumbuka katika majanga hayo hakuna fidia inayolipwa mfano vita vya kagera mji uliharibiwa sana ndo maana ukaangamia kama ilivyo sasa tetemeko.lakini watu walishutka mapema kwamba hakuna fidia ndo maana ukuaji haujaathirika sana.wengi usema bk IPO mbali na tz.Hata Zanzibar ilikuwa inaizidi Dubai miaka ya sabini mkuu. Majanga yapi yaliifanya bk ikazidiwa na mwanza? HIV au tetemeko? Nieleweshe
Acha dharau za lining a njoo ujione vitu kama hiviHawa wazungu watakuwa wananatokea Romania hawa. Mtalii aende bukoba kutafuta nini?