IBRAHIM KAUKI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2014
- 536
- 210
HAHAHA UKWELI UNAUMA EEHAcha viroba hapa ni bk vs moshi sio kagera vs kilimanjaro
MFA maji....
bkb haina hadhi hata robo ya moshiHahaha naona bado mnatoa hints zakutosha, watakua washaelewa lazima, bukoba me moshi bado sana na katu haitaigusa
yan hawa wahaya n majigambo tu hawana kingineChamecha meku nyingine naziona za vijijini kabisa marangu mtoni hembu wawekee na zile hotel za vijijini kabisa waone yaani hawa machalii kweli wanajaribu kukutanisha mbingu na ardhi maajabu haya
hapo sio moshi mjin kadanganye wajingaAmazing
hata mm nishawaambia hivoangalieni moshi inachangia kiasi gani kwenye pato la taifa !!!!!!!!!!!!!!!! kulinganisha na bukoba kusoma NI KUELEWA KUKESHA MBWEMBWE
n zaidi kwa senene tu hapo sawaBukoba ni zaidi ya Moshi. Ninaipenda Bk katika hali zote.
kwi ww Istanbul n sikio LA kufaAisee mkubali tu mambo ya kpost za majiji mengine kama dar. Na mwanza nà arusha acha hamna picha bk inawagalagaZa kimajengo
BUKOBA HAIJAIFIKIA MOSHI NA HAITAKAA IIFIKIESo far so good! Nilitaka niwashauri mjaribu kuwasikiliza wale waliowahi kufika hayo maeneo yote mawili ndo mtapata mnachokilenga la sivyo naona wadandiaji ni wengi sana. Utaongeleaje kitu usichokijiua na hata hujawahi kufika?
NB: Hiyo ni Kagera ( Bukoba) katika picha ilivyo leo bado haijajengwa hata barabara, bado usafiri wa meli hakuna, bado stand hakuna. Imagine hivyo vitu vingelikuwepo leo make soon vitakuwepo, nipe tu picha patakuwa pana sura gani. Kuna mambo mengi ya kutizama na kupima ukiachia majanga yote yaliyopita pale bado unaweza ukafeel vipi isingekuwa yalitokea unafikiri leo hii Bukoba ingekuwa inalinganishwa na nini ..labda Tanga/Mbeya.
Na ukiangalia ukuaji wa hii miji miwili kwa miaka kadhaa ijayo unaona miji miwili tofauti lakini moja ikiwa na nafasi ya kukua zaidi kuliko nyingine as upande wa magh. wa Nchi yetu una link inayokua na kuimarika kwa kasi kama rasrimali zitaanza kutumika kwa kuunganisha mipaka ya nchi na mikoa ya ukanda huo. Mnahitaji kuongea kwa kutizama mambo hayo hata kama leo itakuwa ama inalingana ama hailingani kwani kwa kila mkoa kuna vitu fulani muhimu ukilinganisha na pengine na vinaonekana kwa macho. Anza na vyuo, barabara, majengo, huduma, mandhari, ukubwa wa eneo, wingi wa watu, biashara, mvuto wa macho n.k
NIMEAMIN WW N MSHAMBABukoba tena cheki inawagalagaza nyie mnaweka nssf tu. Victorious hotel hiyojamhuri road mkombozi bank benk ya posta na tra jengo la hazina ndizi round about vodashop bk Rc cathedral kcu akemps bk airport
KUTOKUWEKA HAIMAANISH HAKUNA ACHA USHAMBAKitu cha ajabu moshi hawajaweka vitu vya kusuport zaidi ya kutukana
Nyie mna Kilimanjaro"kama MNA viwanda vingi mbona halmashauri ya moshi inaingiza mapato mengi kuliko bukoba?
ingia web ya tra uone
pia mkoa wa kagera n mkoa wa 3 kwa umaskini sasa mnajivunia nn
kyaka IPO bukoba? acha uongoViwanda bk ni vingi kuliko moshi asilia water,kagera sugar,yetu chair,Mali juice,tanica,bunena water,tanica water, kyaka milk,diva mafuta nk
bukoba hakuna chuo kikuu hata kimoja n matawi ya vyuo tuAcha uongo, Kolping haipo Nkindo. Zaidi ya ile "SAUT" Ambayo haina tofauti na sekondari ya kata hakuna kitu kingine. Kolping ipo karibia na ziwani mjini
eti nn?100%
MNAJIDAI MMESOMA KUMBE HAKUNA LOLOTEAcha viroba hapa ni bk vs moshi sio kagera vs kilimanjaro
Elewa kwanza mada, hapa ni bk na moshi sio kagera vs kilimanjaro[/QUOTE]Kagera ni kubwa watu wake ukubwa unaifanye mapato ya bk yamezwe.na wilaya kama biharamulo, ngara,na kyerwa ambazo ni wilaya maskini na misenyi ambayo ni wilaya change.pia majanga kama tetemeko,na kuwa mbali na tz ndo maana ni maskin
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
UNAJIFICHA KTK CHAKA LA NJUGU?Nyie sijui ni viroba au?? Hapa mada ni bk vs moshi sio kagera vs kilimanjaro