Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Taja na hotel za moshi mkuu

Moshi iko juu mkuu lakini sijaona haja ya kutaja vilivyopo kwakua sidhani Kama moshi inaweza shindanishwa Na bukoba,bukoba iko chini Sana kwa Moshi .

Stand kuu bk Ni vumbi

Club tu za starehe Hamna

Bar nzuri Hamna

Hotel nzuri Hamna

Bureau change sijawahi Ona


Lodge nzuri Hamna ,Ni guest to Na hazizidi 15.

Nyumba nyingi mjini Ni za serikali (NHC)

Kamji Ni kadogo Sana .
Ukweli mchungu Ni bk inaizidi moshi kwa Kua Na kiwanja kizuri cha mpira.baasi.
 
Mm kwani arusha hotel inamilikiwa na wakina nani labda zinafanana maana kolping ni shirika kubwa lenye hotel nyingi bongo ni shirika la Rc.
Hahaha mhaya kubali kushindwa bhana, Arusha Hotel unasema Kolping
 
Hahaa aisee umemuumbua vibaya
 
Kwa sababu tu ya miondombinu tu kama stendi soko na barabara, bukoba ambayo haijafanikiwa sana ndo wameanza kujenga stendi ya mabasi nyanga ila kama si hivyo bk ingeshakuwa jiji zamani
Stendi tu iifanye BK kuwa jiji? Idadi ya watu je? Au hujui vigezo vya sehemu kuwa jiji?
 
unafanya promo kwa bidii zote ila naishia kuona tu coffee,nyamkazi kwa wanywa gongo Na fukwe chafu sijawahi shuhudia!


Ni bora fukwe ya bahari Kua chafu ila Sio ziwa,Na ukitaka jua fukwe chafu nenda nyamkazi.
Nyamukazi ni mwaloni sehemu wanapouzia samaki fukwe kuna kiroyera beach,bunena beach, bukoba coop beach,yassira beach,na kabuwara beach cheki
 
Hivi moshi kuna benki ngapi bk INA nyingi kuliko moshi mjini bukoba kuna benki zaidi ya kumi. Tetemeko liachie mungu maana huamukia popote kizuri IPO hai unaweza ukashangaa hapo ulipokaa unarukaruka yaache hayo laana zitawatafuna watakaokula misaada
Zitaje hizo bank za BK
 
Hapo majengo ya nini hayo hayana kazi hizo ni hotel tumia facts na picha sio poroja tu kiswahili
 
Huyu jamaa ulimwelimisha vizuri sana, kama hana nauli ya kufika Moshi aseme tumpatie aende .
 
Nyamukazi ni mwaloni sehemu wanapouzia samaki fukwe kuna kiroyera beach,bunena beach, bukoba coop beach,yassira beach,na kabuwara beach cheki

Zote hizo nazifahamu,Kama kiroyera ndo Naeza sema iko juu zaidi but pia Haina jipya !kuna camping site hapo Na iko ovyo tu ,nliona kijukwaa Kama cha stage ya maharusi kimeinamia ziwani juu wakisimama watu wa Tatu wa nguvu wanaeza zama nacho .
then kwa ujumla bk Kama Ni Mgeni chakula Ni shida ,kuna Ki Mgahawa nliingia nkakuta kijana anaeosha sa hani Na kudeki kaliwa funza miguuni Na kavaa nguo ambazo zilikua hazijafuliwa mwezi.

Na mgahawa huo ndo nliambiwa ndo mkubwa.jioni ilipofika nkataka kwenda club ,nkapelekwa sehemu inaitwa oxygen duuuhh humo Ndani Ni carbon dioxide Na Giza balaa .alafu Ni nyumba ya NHC,nkakataa nkapelekwa liners.huko nako ilikua balaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…