Mji wa bukoba uliharibiwa na IDD Amin na nyerere
Nyerere na chuk zake hakutaka kuupa kipaumbele mj wa bukoba!
Kimadhali bukoba ni mtamu kuliko mosh
Bukoba compare na dar sio mosh
Kweli wewe Mhaya eti inapakana na Kenya na Burundi...Viwanda kama Balimi etc aaah Bukoba bado saana kwanza watu wa huko bado wanasumbuliwa na funza aka jiggers