Dodoma na moshi tena mkuuBukoba hata morogoro tu haigusi Moshi, manispaa pekee iyoweza igusa moshi ni Dodoma
Hatuna muda tunakula mbege na mbuzi.. Subiri sikukuu ziisheWamepagawa hadi mwanza wakaita moshi [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hizi picha tumezichoka ni zilezile hamna jipya
TPC,kibo match group,kncu nkIna maana hakuna watu bandari,viwanda je.nitajie viwanda vya moshi
wakishaiweka mbege vichwani hapo ni kutoa mapovu tuNgoja wamalize kunywa mbege wanakuja.
Kalinganishe bukoba na kahama...moshi ni habari nyingne wajanja wote wanalitambua hilo...!Hizi picha tumezichoka ni zilezile hamna jipya
Sijaona Kitu hapo bukoba.ningekuwa na muda ningewatafutia picha za moshi mnge kaa kimya.Naona watu mimacho inawatoka kodo baada ya kuiona bk halisi [emoji12] [emoji12] [emoji12]
wahaya n mbwembwe tu mkoa wa kagera n wa 3 kwa umaskini sasa mnajivunia nnNkindo kuna sauti,kashura kuna kolping,walkguarg,stalla,perfect nk
kageravn mkoa wa 3 kwa umaskini sasa mnajifananisha na KLM?Thread ni ya bk vs moshi ukiangalia mkoa kagera ni Mara mbili ya Kilimanjaro.na watu ni wengi.una biharamulo,ngara,karagwe.kyelwa misenyi muleba na sehemu izo si bk na wahaya sio Wa huko
Hiyo picha baada ya round about ya KCMC siyo Moshi ni Iringa.
Jango la NSSF KILIMANJARO
KILIMANJARO MOUNTAIN
Round about ya KCMC, KILIMANJARO N/PARK NA ARUSHA
Katikati ya manispaa
Jango la stend kuu ya mikoani,
Bado sehem kibao sijaziweka hapa.
Uko sahihi kabisa, kuna hiyo ya baada ya mzunguko wa KCMC ni Iringa na huo mzunguko mwingine ni Mwanza.Hahahaaa naona picha za Iringa na mwanza WEWE unasema katikati ya mosho
Acha uongo, Kolping haipo Nkindo. Zaidi ya ile "SAUT" Ambayo haina tofauti na sekondari ya kata hakuna kitu kingine. Kolping ipo karibia na ziwani mjiniNkindo kuna sauti,kashura kuna kolping,walkguarg,stalla,perfect nk
Bukoba ina uhaba Wa stendi na soko na barabara zake ni ndogo japo ni za rami hilo tu ndo moshi inaizidi vingine bukoba IPO juu
Acha viroba hapa ni bk vs moshi sio kagera vs kilimanjarowahaya n mbwembwe tu mkoa wa kagera n wa 3 kwa umaskini sasa mnajivunia nn
Kumbe hauifahamu bk sijasema IPO nkindo Bali kashura barabara ya maruku mkabala na walkguard zote zipo milimani km kama NNE kutoka mjiniAcha uongo, Kolping haipo Nkindo. Zaidi ya ile "SAUT" Ambayo haina tofauti na sekondari ya kata hakuna kitu kingine. Kolping ipo karibia na ziwani mjini
Punguza viroba ujue mada vzuri povu la nini??kageravn mkoa wa 3 kwa umaskini sasa mnajifananisha na KLM?