Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,369
- 15,162
ujuaji ndio unaowaponza wahaya.........................ukiweza kufanya dili na muhaya basi jipige kifua,jamaa ni wabishi mnooo
NotedTena wote wa kagera...huyo byabato na makamba mama yake wa misenyi...
Bado waziri wa tamisemi anayehusika na halmashauri ni wa karagwe lakin hata kushawishi stendi ya bukoba ijengwe hawezi..
Kwa hili hapana. Tuko Pamoja bila kujali mtu anatoka Muleba, Misenyi, Kyerwa, au Karagwe. Wote tunataka Bukoba Mjini pawe sehemu ya kuvutia. Stand ile ijengwe vizuri, solo libomolewe lijengwe la kisasa na hospitali pia. Ifike muda serikali kama haitaki kuendeleza Kagera kwa ujumla, itwambie au ituruhusu tujiunge na nchi jirani tutakayo chagua au tuanzishe 'Jamhuri ya Rweru'.Kagera inabebwa na muleba,misenyi na karagwe...lakin bukoba imeisha kabisa
Ni jamii fulani ya hovyo sana yaani mtu umuachie sehemu na yeye ana sehemu kubwa kwa mbele but still anakuchokoza anajenga nyumba maji ya mvua anayaelekeza kwako.Ng'oa hizo bati...ukipakana au ukiwa jirani nao ni full kero na migogoro.
Co kweli ubinafsi mji inajengwa na wagen miii yote ambayo hawataki mgen afanye biashara haiendelei.Sawa lakini umaskini wa watu wa Bukoba-Kagera unachangiwa serkali imaonekana ni mtaji wa Ccm ili waendee kutawala
Duh! Umekereka kweli mkuu.Nashukuru kwa mchango wako.Wakora waituKwa hili hapana. Tuko Pamoja bila kujali mtu anatoka Muleba, Misenyi, Kyerwa, au Karagwe. Wote tunataka Bukoba Mjini pawe sehemu ya kuvutia. Stand ile ijengwe vizuri, solo libomolewe lijengwe la kisasa na hospitali pia. Ifike muda serikali kama haitaki kuendeleza Kagera kwa ujumla, itwambie au ituruhusu tujiunge na nchi jirani tutakayo chagua au tuanzishe 'Jamhuri ya Rweru'.
Stendi zinajengwa na wageni? Barabara zinajengwa na wageni? Masoko yanajengwa na wageni? Acheni ubinafsi mada inaongerea public seveces.Co kweli ubinafsi mji inajengwa na wagen miii yote ambayo hawataki mgen afanye biashara haiendelei.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Arusha na Moshi zina mazingira tofauti kabisa na Bukoba au Kagera nzima. Kaskazini kuna mzunguko mkubwa wa fedha na vyanzo vingi vya mapato. Mlima Kilimanjaro unaleta mapato mengi, pale Arusha ni soko la madini, utalii mwingi unapita mikoa hiyo. Kagera mkoa una resources ambazo hazijaguswa ni kitendo cha kutokea sera za maana zilizosimama na viongozi sahihi miaka mitano tu mkoa unakuwa level za juu.Kwa hiyo mkuu tuki-calculate ndani ya hii miaka 60+ ya uhuru na kunavyoonekana sasa itaibidi Kagera japo kwa uchache kuchukua tena miaka mingine siyo chini ya 80 ili iifikie au iipite Moshi au Arusha?
Viongozi wenyewe ndiyo hivyo hovyo hovyo tu siyo raisi siyo wabunge siyo wakurugenzi wote wanajali kushiba kwao na familia zao hawafanyi kile walipaswa kufanya ndani ya serikali.
majigambo yamewazidi hahahahahaUkiangalia hali ya mikoa na wilaya vinavyobadilika unaona kabisa Bukoba tuliachwa analog kila kitu Bukoba tuko nyuma sio stendi kuu sio soko kuu sio hospital sio vyuo vikuu yaani hatuna chuo kikuu ata kimoja mkoa mzima lakini ni mkoa umaoongoza kwa kuzalisha wasomi walioolowea ughaibuni.
Wasomi wasio na faida kazi ni kutujazia makaburi. Naandika kwa hasira ivi WAHAYA nani aliyewaloga? Yaani Mbunge anakarabati soko zee kwa kuezeka na bati za SENENE? Tumezidiwa na mshenga wa Yesu Mzee wa Kaprnaum?
Sijui CCM mtajibu nini kwa Muumba, kodi mnachukua hospital hakuna madawa shule hizo usiseme barabara mitaani hoi sijui narudia sijui.
Namaliza kwa kusema ABAHAYA inywena mweshubeho Kagera yagera.View attachment 2250488View attachment 2250490View attachment 2250489View attachment 2250491View attachment 2250492
Khaaaa hv Wahaya walivyo na sifa mjini kumbe kwao shida tupuWahaya wengi hawawekezi kwao ila wanaenda kule kujaza makaburi tu kama ni mabadiliko muanze nyie wenyewe
Uzuri nimeishi kule kwa miaka 4
*Wahaya muache umimi usisi na kujiona
*Muache uvivu na ulevi
*Muache ubishi linapokuja suala la maendeleo
NB:kwa mara ya kwanza mkoa wa kagera nimeona taxi inabeba watu 13
Mimi mwenyewe nashangaa....nilitegemea aje kuzindua mradi wa ujenzi wa stendiAlafu eti Rais Samia anakuja tarehe 8 kuzindua msikiti!!! Hii nchi haiishi vituko, yaani hamna hata mradi wowote uliotekelezwa Kagera zaidi ya msikiti na mradi wa maji kyaka.
Sound tu ndo wanachoweza........Leo mmeamua kutoa Siri zenu?maana wahaya hapa mjini wamesema kwao Ni nusu ya ulaya
Hahaha miyeyusho hivi?
Yaani Hawa ndugu zetu Ni Shida!Inatakiwa kwenda nao kiubabe ubabe alianza hizo chokochoko zake simama imara piga biti balaa,ukiwa mpolempole unaweza shangaa siku anakuita ukamfulie nguo zake....Nina jirani muhaya pia tumeshamalizana kila mtu kakaa kwa kutulia sasaNinae mmoja jirani yangu alisogeza mpaka nikataka kufanya ujenzi wa ukuta nikamuita tunyooshe vizuri akaniambia yeye hana aliposogeza na kwamba mpaka ulivyo ndo ulivyotakiwa kuwa nikaachana nae nikajenga hivyo hivyo.
Week mbele nimeenda kazini narudi nakutana na samansi naitwa mimi serikali za mitaa kwamba nimesogeza mpaka wa jirani,nikiwa natafakari akatuma mtoto akisisitiza nisikose kuhudhuria maana baba amedhamiria kufika mbali siku ya kesi tukaenda eneo la tukio kilichoniokoa mjumbe aliyesimamia wakati nanunua alikuwepo na niliweka kwa mkono wangu alama ya nondo nilizichimbia chini akanikumbusha siku ile uliweka alama zako ziko wapi kuangalia zipo upande wake.
Sasa amejenga nyumba maji ya bati zake yanamwagikia kwangu kuna wakati huwa najiuliza kwamba mimi mpole sana au naonekana akili sina?
Ha haaaaa Aisee wanazipiga bwanaSound tu ndo wanachoweza........