Bukoba tumebaki analogi

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,605
2,729
Ukiangalia hali ya mikoa na wilaya vinavyobadilika unaona kabisa Bukoba tuliachwa analog kila kitu Bukoba tuko nyuma sio stendi kuu sio soko kuu sio hospital sio vyuo vikuu yaani hatuna chuo kikuu hata kimoja mkoa mzima lakini ni mkoa unaoongoza kwa kuzalisha wasomi walioolowea ughaibuni.

Wasomi wasio na faida kazi ni kutujazia makaburi. Naandika kwa hasira hivi WAHAYA nani aliyewaloga? Yaani Mbunge anakarabati soko zee kwa kuezeka na bati za SENENE? Tumezidiwa na mshenga wa Yesu Mzee wa Kaprnaum?

Sijui CCM mtajibu nini kwa Muumba, kodi mnachukua hospital hakuna madawa shule hizo usiseme barabara mitaani hoi sijui narudia sijui.

Namaliza kwa kusema ABAHAYA inywena mweshubeho Kagera yagera.View attachment 2250488View attachment 2250490View attachment 2250489View attachment 2250491
IMG_20220604_165744_778.jpg
 
Ukiangalia hali ya mikoa na wilaya vinavyobadilika unaona kabisa Bukoba tuliachwa analog kila kitu Bukoba tuko nyuma sio stendi kuu sio soko kuu sio hospital sio vyuo vikuu yaani hatuna chuo kikuu ata kimoja mkoa mzima lakini ni mkoa umaoongoza kwa kuzalisha wasomi walioolowea ughaibuni.
Wasomi wasio na faida kazi ni kutujazia makaburi. Naandika kwa hasira ivi WAHAYA nani aliyewaloga? Yaani Mbunge anakarabati soko zee kwa kuezeka na bati za SENENE? Tumezidiwa na mshenga wa Yesu Mzee wa Kaprnaum?
Sijui CCM mtajibu nini kwa Muumba, kodi mnachukua hospital hakuna madawa shule hizo usiseme barabara mitaani hoi sijui narudia sijui.
Namaliza kwa kusema ABAHAYA inywena mweshubeho Kagera yagera.View attachment 2250488View attachment 2250490View attachment 2250489View attachment 2250491View attachment 2250492
Chonka iwe! Mabati ya senene ni yap? Mbona Arusha mkurugenzi alitumia mabati kama hayo kujenga soko.
 
Ukiangalia hali ya mikoa na wilaya vinavyobadilika unaona kabisa Bukoba tuliachwa analog kila kitu Bukoba tuko nyuma sio stendi kuu sio soko kuu sio hospital sio vyuo vikuu yaani hatuna chuo kikuu ata kimoja mkoa mzima lakini ni mkoa umaoongoza kwa kuzalisha wasomi walioolowea ughaibuni.
Wasomi wasio na faida kazi ni kutujazia makaburi. Naandika kwa hasira ivi WAHAYA nani aliyewaloga? Yaani Mbunge anakarabati soko zee kwa kuezeka na bati za SENENE? Tumezidiwa na mshenga wa Yesu Mzee wa Kaprnaum?
Sijui CCM mtajibu nini kwa Muumba, kodi mnachukua hospital hakuna madawa shule hizo usiseme barabara mitaani hoi sijui narudia sijui.
Namaliza kwa kusema ABAHAYA inywena mweshubeho Kagera yagera.View attachment 2250488View attachment 2250490View attachment 2250489View attachment 2250491View attachment 2250492
Kwhy unataka wakajenge soko, watoe madawa, wajenge vyuo vikuu wenyewe siyo
 
Mimi nilishaacha kuipambania Bukoba....nimewaachia Bukoba yao nitakuja kuzikwa tu..

Mji una miundombinu mibovu kuanzia stendi hadi barabara zake...

Serikali yenyewe haiteng bajeti na kuipeleka huko.. manispaa imejaa wezi tu na wala hawatumbuliwi.

Tungeiacha Kagera tu ikachukuliwa Uganda na Idd Amin at least Bukoba ingekuwa imepiga hatua.
 
Mkoa wa Kagera umejaa wapumbavu waliosoma. Kwa mfano wabunge wake wote ni kenge hawawezi hata kutetea maslahi ya wananchi. Vilaza kama Diodorus Kamala wanafanya nini, mbunge wa Bkb Vijijini anafanya nini, yule Mwijage wa Muleba former waziri wa cherehani nne ni kiwanda anafanya nini. Wengine sijui Kiswahili ni shida wanaogopa kuchangia bungeni.

Tukija kwa raia, ni watu wagumu na watata kuishi nao. Ila hawawezi kutumia huo utata kuwa chachu ya maendeleo, wanautumia kwenye migongo na ubishi. Kujenga soko jipya au kurekebisha lililopo unakuwa mjadala wa zaidi ya miaka mitano, kujenga stendi mpya ni mjadala wa miaka zaidi ya saba. Hawawezi elewana ni ubishi na ujuaji.

Kwa kutengwa huo mkoa umetengwa kama Mbeya. Ila kuna miji mingine duniani ilikuwa hivi, kuna muda wa kupandishwa juu kwa mji fulani. Texas au California zilikuwa sehemu za ovyo sana kabla hazijajengwa kimkakati. Hapa nchini kuna maeneo yanakuzwa na kubebwa ila uzalishaji mdogo, kuna mengine yanatekelezwa. Sera zikibadilika fursa zikaonekana mzunguko wa kukua kwa haraka unahamia uko. At least kwa nchi maskini ingetambua fursa za haraka na gharama nafuu ikawezesha.

Moshi nayo haikui kabisa ila hawana upuuzi na hawavumilii kiongozi kilaza. Wako saturated maendeleo yao hayatarajiwi kuongezeka kwa kasi tena. Kwa sasa ni zamu ya kina Njombe na Kahama.

Kagera inategemea ndizi, kwa soko lipi? Kahawa ndio hivyo wabunge hawawezi itetea mwishoni unabaki na mkoa ambao sio productive. Wageni hamna, mji umejazana wenyeji wengi wao umwinyi na ushamba mwingi, mzunguko wa hela mdogo, ushindani mdogo, mbinu mpya kidogo. Na sio asili yetu kuwa wachapakazi, kazi za nguvu hatupendi kivile ndio maana ilikuwa rahisi tukasoma kwa wakoloni wakati wengine wanagoma wanachunga ng'ombe na kuwinda.

Mabadiliko serious yatayoanzishwa na serikali yanatakiwa, hasa social reforms. Na maeneo mengi ya nchi yana shida za hivi mfano mikoa ya Lindi
 
Mimi nilishaacha kuipambania bukoba....nimewaachia bukoba yao nitakuja kuzikwa tu..

Mji una miundombinu mibovu kuanzia stendi hadi barabara zake...

Serikali yenyew haiteng bajeti na kuipeleka huko..manispaa imejaa wezi tu na wala hawatumbuliwi.

Tungeiacha kagera tu ikachukuliwa uganda na idd amin at least bukoba ingekuwa imepiga hatua
Huwa nikiwa likizo naishia kubishana na kukasirishwa na watu. Vilaza wengi
 
Huwa nikiwa likizo naishia kubishana na kukasirishwa na watu. Vilaza wengi
Niliwachorea ramani na route za daladala hapo mjini bukoba na kuwapelekea manispaa waanzishe hizo route ili wachukue mapato kutokana ushuru waachane na bodaboda ambazo hazichangii lolote manispaa...
Niliambiwa maneno kama sisi tumezoea hiv...bukoba bado mji mdogo...nk nk..yaan viongozi hawawazi mbele na maendeleo ya mji wanajiwazia wao tu na familia zao....

Mimi sa hiv naupambania ukoo wangu tu...bukoba itajua yenyew
 
Ukiangalia hali ya mikoa na wilaya vinavyobadilika unaona kabisa Bukoba tuliachwa analog kila kitu Bukoba tuko nyuma sio stendi kuu sio soko kuu sio hospital sio vyuo vikuu yaani hatuna chuo kikuu ata kimoja mkoa mzima lakini ni mkoa umaoongoza kwa kuzalisha wasomi walioolowea ughaibuni.
Wasomi wasio na faida kazi ni kutujazia makaburi. Naandika kwa hasira ivi WAHAYA nani aliyewaloga? Yaani Mbunge anakarabati soko zee kwa kuezeka na bati za SENENE? Tumezidiwa na mshenga wa Yesu Mzee wa Kaprnaum?
Sijui CCM mtajibu nini kwa Muumba, kodi mnachukua hospital hakuna madawa shule hizo usiseme barabara mitaani hoi sijui narudia sijui.
Namaliza kwa kusema ABAHAYA inywena mweshubeho Kagera yagera.View attachment 2250488View attachment 2250490View attachment 2250489View attachment 2250491View attachment 2250492
Ile bandari ya Bukoba na uwanja wa ndege ndio kabisa unathibitisha unachosema
 
Leo mmeamua kutoa Siri zenu? Maana wahaya hapa mjini wamesema kwao Ni nusu ya Ulaya
 
Back
Top Bottom