Bukoba tumebaki analogi

Bukoba tumebaki analogi

Mmeacha kujiuza pale kimboka?

Yaan Dar kuna maeneo yanaitwa kwa Wahaya
 
Mkoa wa Kagera umejaa wapumbavu waliosoma. Kwa mfano wabunge wake wote ni kenge hawawezi hata kutetea maslahi ya wananchi. Vilaza kama Diodorus Kamala wanafanya nini, mbunge wa Bkb Vijijini anafanya nini, yule Mwijage wa Muleba former waziri wa cherehani nne ni kiwanda anafanya nini. Wengine sijui Kiswahili ni shida wanaogopa kuchangia bungeni.

Tukija kwa raia, ni watu wagumu na watata kuishi nao. Ila hawawezi kutumia huo utata kuwa chachu ya maendeleo, wanautumia kwenye migongo na ubishi. Kujenga soko jipya au kurekebisha lililopo unakuwa mjadala wa zaidi ya miaka mitano, kujenga stendi mpya ni mjadala wa miaka zaidi ya saba. Hawawezi elewana ni ubishi na ujuaji.

Kwa kutengwa huo mkoa umetengwa kama Mbeya. Ila kuna miji mingine duniani ilikuwa hivi, kuna muda wa kupandishwa juu kwa mji fulani. Texas au California zilikuwa sehemu za ovyo sana kabla hazijajengwa kimkakati. Hapa nchini kuna maeneo yanakuzwa na kubebwa ila uzalishaji mdogo, kuna mengine yanatekelezwa. Sera zikibadilika fursa zikaonekana mzunguko wa kukua kwa haraka unahamia uko. At least kwa nchi maskini ingetambua fursa za haraka na gharama nafuu ikawezesha.

Moshi nayo haikui kabisa ila hawana upuuzi na hawavumilii kiongozi kilaza. Wako saturated maendeleo yao hayatarajiwi kuongezeka kwa kasi tena. Kwa sasa ni zamu ya kina Njombe na Kahama.

Kagera inategemea ndizi, kwa soko lipi? Kahawa ndio hivyo wabunge hawawezi itetea mwishoni unabaki na mkoa ambao sio productive. Wageni hamna, mji umejazana wenyeji wengi wao umwinyi na ushamba mwingi, mzunguko wa hela mdogo, ushindani mdogo, mbinu mpya kidogo. Na sio asili yetu kuwa wachapakazi, kazi za nguvu hatupendi kivile ndio maana ilikuwa rahisi tukasoma kwa wakoloni wakati wengine wanagoma wanachunga ng'ombe na kuwinda.

Mabadiliko serious yatayoanzishwa na serikali yanatakiwa, hasa social reforms. Na maeneo mengi ya nchi yana shida za hivi mfano mikoa ya Lindi
Sawa lakini umaskini wa watu wa Bukoba-Kagera unachangiwa serkali imaonekana ni mtaji wa Ccm ili waendee kutawala
 
Leo mmeamua kutoa Siri zenu?maana wahaya hapa mjini wamesema kwao Ni nusu ya ulaya
Mimi naishi Bukoba na ndio nyumbani Dar ni mgeni sana uwa napita tu naelekea Ulaya saa ao unaosema watakuwa na Bukoba yao sio hii ya Kagera. Kwanza wengi wanajiita Wahaya ata kufika hawajawahi mpaka misiba
 
Watu wa bukoba siyo watanzania Ni watu wa Uganda ndio maana serikali imewatenga ..watu wa bukoba Ni takataka kinoma 😂😂😂
 
Leo mmeamua kutoa Siri zenu?maana wahaya hapa mjini wamesema kwao Ni nusu ya ulaya
Ukianzia Muleba, Mpaka Kemondo Bay, Bunazi, Katerelo, Bukoba, Misenyi, Karagwe, Kyerwa, Ngara Ni Kawaida
 
Wahaya wengi hawawekezi kwao ila wanaenda kule kujaza makaburi tu kama ni mabadiliko muanze nyie wenyewe

Uzuri nimeishi kule kwa miaka 4
*Wahaya muache umimi usisi na kujiona
*Muache uvivu na ulevi
*Muache ubishi linapokuja suala la maendeleo

NB:kwa mara ya kwanza mkoa wa kagera nimeona taxi inabeba watu 13
 
Mbona instanbul huwa anasema Bukoba kumeendelea sana na kuna Palace za maana huko?

Bukoba haitaendelea ikiwa, Wahaya wataendelea kuwa Wabishi na kuamini wao wanajua zaidi kuliko wengine.

Kuna makabila yana wasomi wengi pia lakini ni Wapambanaji kiuchumi na huwa wanaona BADO hawana chochote na pia hawana dharau that's why wanapenetrate kila mahala na wanakubalika bila tatizo, kama watu wa Kaskazini wapo kila mahala.

PILI, Bukoba iruhusu Wageni kuinvest pale mjini, baada ya muda utashangaa kutakavyochangamka na hiyo attitude itaingia mpaka vijijini.

Sio unaenda na pesa yako unataka kununua kakiwanja pale mjini ujenge hata lodge mnakubaliana na mwenye eneo halafu baada ya siku mbili anabadilisha mawazo kumbe amekutana na ndugu zake wakamwambia asiuze...na hilo eneo linabaki hivyohivyo mpaka anafariki

Sijui huwa hawatakiani?
 
Mimi naishi Bukoba na ndio nyumbani Dar ni mgeni sana uwa napita tu naelekea Ulaya saa ao unaosema watakuwa na Bukoba yao sio hii ya Kagera. Kwanza wengi wanajiita Wahaya ata kufika hawajawahi mpaka misiba
Nina mwanakwaya mwenzangu bwana Kalokola huwa ananisumbua Sana na Bukoba yake.....Illa wahaya hamuachagi mbwembwe Aiseee kwa hiyo Dar huwa unapita tu kwenda ULAYA😁😁😁?
 
Mashemeji zangu wahaya wanafeli sana..yani mji wa bukoba umekuwa kama mahame..umedumaa wala haukui.

Viongozi wake wengi ni tantalila nyingi.
Ila kusema kweli bukoba kuna hali nzuri sana ya hewa pia chakula cha kutosha.

Shida ni hakuna mzunguko wa pesa...na mji umejaa uhaya tupu.
 
Bukoba kama Newala tuu, Newala pia hakuna stand tupo tupo tuu, viongozi hawajali,
Juzi kati nilikua Nyamongo njiani pale Mwanza nimeona stand nzuri nje ya Kisesa, pia na ile ya Nyegezi sijui Buzuruga,
Viongozi gaweni hizo Keki kwa watu wote msitubague na wengine
 
Back
Top Bottom