Heri Buberwa
Member
- Nov 9, 2011
- 8
- 3
Kwani uliitwa? Lazima upapende? Kwenu? Ondoka!
Hatari sana mkuu, atakuwa alikuwa anatania tu ama yawezekana alijisahau ..kwanza alitaka kutulia senene wetu bureNenda hata ss hatukutak mkuu![]()
![]()
Kama unaangalia mbali kwa mwelekeo wa uchumi wa e.a na mipango ya serikali yako hilo ni rahisi sana kulionaWahaya wanadai wenyewe soon Bukoba itaipiku DUBAI. Tuvute subira
Ndo maana mkuu senene wetu wanapungua kila ckHatari sana mkuu, atakuwa alikuwa anatania tu ama yawezekana alijisahau ..kwanza alitaka kutulia senene wetu bure
Hahaaaaaa! kwani hawajakupeleka kwenye gulilo la katerero mkuu!!!!!Nimefika hapa takribani wiki moja iliyoisha yani mjii huu ni tofauti na nilivyouzania kutokana na majigambo ya ndg zetu wahaya, miundo mbinu na mji ulivyokaa basi taabu kweli kweli, natamani kilichonileta huku nimalize fasta nirudi zetu kwetu mwanza,,
ovahiyo ni dharau kubwa kwa wenzetu huko bukoba watake radhi tafadhali
Sasa hivi ni chakula cha kitaifaNdo maana mkuu senene wetu wanapungua kila ck
hivi Tanzania mzima, ina Wilaya zaidiiii ya mia moja, lakini Wilaya Chache Sana zenye hadhi Kama ya au kuzidi BUKOBA Nazo haizidi kumi na tano, hapa Nasema, ilala, Kinondon, nyamagana, Temeke, mbeya, iringa mjini, Dodoma, musoma, Arusha mjini, moshi, ilemela, morogoro, tanga mjini, bas, sasa nyingine Ipi ambayo ipo katika viwango vya bukoba??
Ha ha ha ha haNilihisi kwa majigambo yao pangekuwa kama dubai au london