Bukoba Mpoooo niko kwenye ardhi yenu

Bukoba Mpoooo niko kwenye ardhi yenu

karibu sana!!! japo sipo pande hizo..... usisahau kutupa ushuhuda wa maji bila bomba.......
 
Jitahidi ujifunze katerero la kiganda! Walau defination ,
Kule wanaita "kachabali" ukirudi huku wewe "mali kipusa"
 
Hahahaaaaaa lady nishafika toka asbuhi wajameni nashkuru kwa dua zenu bt cjajua narudi kwa hii gari au usafiri mwngine tutajuzana wala msihofu
 
Hahahaaaaaa lady nishafika toka asbuhi wajameni nashkuru kwa dua zenu bt cjajua narudi kwa hii gari au usafiri mwngine tutajuzana wala msihofu

poa poa dogo, mie nasubiri kujuzwa tu ili nikakusubirie stand... Ila usije ukanichomesha mahindi, Sawa?
 
Ungelala walau usiku mmoja ili uone kile kinachomfanya Bishanga kuja huko kila ijumaa na kurudi dar jmosi.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom