Bukoba kila mwanafunzi ana iPad

Bukoba kila mwanafunzi ana iPad

mtvbase

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2014
Posts
1,243
Reaction score
563
Wakati shule nyingi hazina maabara,hazina library,hazina madawati,hazina walimu,hazina madarasa ya kutosha,shule hazina umeme,Bukoba vyote hivyo vipo na zaidi kuna wireless internet,akina kokubanza wanatumia iPad kwenda mbele.

Wakati hicho mnachoita chuo bora UDSM mwanafunzi wa masters hawana hata laptop.mimi nawashauri wale akina kokubanza wakimaliza form six moja kwa moja waende HAVARD.

Kuja udsm kujichanganya na hawa wenzangu na mimi ambao wametokea shule za kidumu cha maji na ufagio wa chelewa ni ujinga.

attachment.php
 
Kijana yakupasa kufikiri kwanza kabla ya kuandika humu si woote wanaakili kama zako za kupuuzi kuwa makini bwana mdogo
 
Wakati shule nyingi hazina maabara,hazina library,hazina madawati,hazina walimu,hazina madarasa ya kutosha,shule hazina umeme.bukoba vyote hivyo vipo na zaidi kuna wireless internet,akina kokubanza wanatumia iPad kwenda mbele.wakati hicho mnachoita chuo bora UDSM mwanafunzi wa masters hawana hata laptop.mimi nawashauri wale akina kokubanza wakimaliza form six moja kwa moja waende HAVARD.kuja udsm kujichanganya na hawa wenzangu na mimi ambao wametokea shule za kidumu cha maji na ufagio wa chelewa ni ujinga

Ama kweli viroba noma! Jamaa kaamka na faida hajui hata asemalo. Bkb barabara zenyewe shida, bank kuna crdb na nmb tu ukichanganya na postal bank, wafungwa wa kitengule na rwamulumba hawana hata uniform na wanakula mlo mmoja kwa siku, hospital ya mkoa haina madaktari wa kutosha wewe unakuja na vichekesho vya ipad. Wewe ni zaidi ya ZUZU unaelekea kwenye UMBURULA. Kwaheli!!!
 
mkoa wa 27 kwa umaskini Tanzania mtoe wapi nyie wanywa rubisi
 
Ama kweli viroba noma! Jamaa kaamka na faida hajui hata asemalo. Bkb barabara zenyewe shida, bank kuna crdb na nmb tu ukichanganya na postal bank, wafungwa wa kitengule na rwamulumba hawana hata uniform na wanakula mlo mmoja kwa siku, hospital ya mkoa haina madaktari wa kutosha wewe unakuja na vichekesho vya ipad. Wewe ni zaidi ya ZUZU unaelekea kwenye UMBURULA. Kwaheli!!!

Hata vyoo ni shidaa wanajisaidia migombani wengi wao...kwanza,kununua ipad ni uwezo wa mtu binafsi..au hao akina ruge wananunuliwa na shule????
 
kwani kuwa na Ippad ni maendeleo? inategemea zinatumika. A development is a progressive change from one stage of life to another. Lakini si kwa kutegemea misaada mf kuwa na ippad za misaada ni maendeleo ya bandia.
 
Wakati shule nyingi hazina maabara,hazina library,hazina madawati,hazina walimu,hazina madarasa ya kutosha,shule hazina umeme.bukoba vyote hivyo vipo na zaidi kuna wireless internet,akina kokubanza wanatumia iPad kwenda mbele.wakati hicho mnachoita chuo bora UDSM mwanafunzi wa masters hawana hata laptop.mimi nawashauri wale akina kokubanza wakimaliza form six moja kwa moja waende HAVARD.kuja udsm kujichanganya na hawa wenzangu na mimi ambao wametokea shule za kidumu cha maji na ufagio wa chelewa ni ujinga
Uandikaji wako wa Kiswahili unahitaji kuimarishwa ili watu tusome michango yako wa raha! Kwa mfano baada ya alama za mkato na nukta unaacha nafasi, baada ya nukta unaanza na herufi kubwa, n.k.
 
Kweli bwana... Nimewaona pia, Hawa hapa.
 
Attachments

  • 1408169023329.jpg
    1408169023329.jpg
    59.4 KB · Views: 4,021
baba koku acha ujinga watu wanatafuta hela we unatangaza sifa hapa .....
 
lengo zuri uwasilishaji wa ujumbe mbovu......
 
Basi sawa,kawachukuweni na wale dada zenu wanaojiuza buguruni na temeke sudani muwape na wao hayo maendeleo ya Ipad.
 
mwaka wetu wa ndalichako(2012) kunashule bukoba inaitwa jakaya kukwete mwanafunzi wakwanza alipiga 4 ya 28 !
 
Sawa kakosea aliyetuma hiyo post ila na wewe usimkosoe kwa kukosea.... Kama hujui jambo nyamaza tu mwambie ndugu umekosea... Ww unatupotosha zaidi........aghhkh!
 
Back
Top Bottom