Bujibuji seriously natangaza NDOA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bujibuji seriously natangaza NDOA

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Jun 23, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,187
  Trophy Points: 280
  Wana jamvi wenzangu, invisible friends, natangaza ndoa.
  Nimefika kikomo sasa nataka nifunge pingu za maisha.
  Wachumba wangu wa JF tuliofanya matusi na wale tulio ishia kwenye cyber sex naomba muelewe kuwa hamna marefu yasiyo na ncha na mimi sasa nimefikia tamati ya njunji za holela, na sasa njunji rasmi na mtu rasmi.
  Harusi yangu nataka niifanye mwezi wa kumi, it will be open to everyone, kwani sitaki mambo ya michango (but zawadi zinaruhusiwa).
  Tutaendelea kufahamishana mengi kupitia jamvi letu adhimu la Jamii Forum.
  Wenu mtiifu niliyechoka na unungayembe.
  Bujibuji wa kibuyu cha Mbujimayi
   
 2. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Hata wewe unaoa??????
  Kweli wanawake hawana macho kudadeki.
   
 3. E

  Edo JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Kama kweli hongera sana!
   
 4. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Du....
  Bado najiuliza ni bujibuji tunaemfahamu au bujibuji mwingine
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,187
  Trophy Points: 280
  Sumba acha kupotosha umma na kuwaonyesha hadhira kuwa sina sifa za kuwa mume.Im going to be mume bora kuliko yoyote unayemjua, ntakuwa role model wa mababa wengi.
   
 6. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hongera kama kweli, mi nilijua umeishaoa kumbe ilikuwa bado?
  kila la kheli
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,187
  Trophy Points: 280
  Senkyu sistah
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Na wewe unaharibu Jamvi siamini....................
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,187
  Trophy Points: 280
  Naharibu jamvi kwa kipi? Au kwa kuonyesha mfano bora kwa kuoa?
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Umeamua kuingia kwenye jela ya malavi davi
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,021
  Trophy Points: 280
  Siku zote nilikuwa najua bujubuji ni mwanaume.... Kumbe nungayembe... khaaa! kweli JF ni zaidi ya niijuayo.... (Nungayembe ni mwanamke asiyeolewa, kwa mujibu wa waanzilishi wa hili jina)
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Leo hii

  Sijui ni nani huyu naomba jibu Bujibuji
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,187
  Trophy Points: 280
  nafikiri ndiyo ninayoistahili
   
 14. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jambo la heri hili. Nakutakia mafanikio mema rafiki yangu.
   
 15. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #15
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kama ni kweli hongera,
  weka no yako hapa tukupigie,vilevile tutakuchangia kukuonyesha umoja wetu hapa wana jf
  harusi itakuwa wapi na mitaa ipi?weka mambo hadharani umekua sasa
   
 16. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hongera kwa hatua na uamuzi uliofikia kwani sio lelemama inahitaji courage kufikia uamuzi huo na jiandae na challenges za maisha. Kumbuka kuwa ndoa sio uchumba ni dhamana yako na mwenza wako, akukubali ulivyo na wala wasije tokea watu kuwatenganisha, kumbuka kuwa ndoa njema hushauriwa na wanandoa wenyewe na wala sio majirani wala ndugu kutoka pande yoyote ile.
   
 17. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Dena Amsi tumekumisi jamvini jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii JES hujaiona?
   
 18. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  asante kwa taarifa, kumbe mshikaji ni bwabwa kama boflo
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Maisha ya ndoa yatakiwa kugangamaa na hakuna uchakachuaji utayaweza kijana maisha hayo?
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Naona kijana anajichanganya
   
Loading...