Naomba hoja za dena amsi hapo juu zijibiwe na bujibuji mapema iwezekanavyo.leo hii
sijui ni nani huyu naomba jibu bujibuji
Bujibuji, umechoka na Unungayembe ama Ugendaheka?
naomba Bujibuji asiingie mitini kwenye kujibu hiloNaomba hoja za dena amsi hapo juu zijibiwe na bujibuji mapema iwezekanavyo.Vinginevyo thread hii isimame!
Naomba hoja za dena amsi hapo juu zijibiwe na bujibuji mapema iwezekanavyo.
Vinginevyo thread hii isimame!
Khaaa!...... Mi chimo!asante kwa taarifa, kumbe mshikaji ni bwabwa kama boflo
0717454455 e mail bujhu2t@gmail.com.Ukija shereheni hutopata kadi bali ntakualika kwa mdomo tu, njoo na rafikizo ili usiwe boredkama ni kweli hongera,weka no yako hapa tukupigie,vilevile tutakuchangia kukuonyesha umoja wetu hapa wana jfharusi itakuwa wapi na mitaa ipi?weka mambo hadharani umekua sasa
A na B yote sawa bin sawiaBujibuji, umechoka na Unungayembe ama Ugendaheka?
0717454455 e mail bujhu2t@gmail.com.Ukija shereheni hutopata kadi bali ntakualika kwa mdomo tu, njoo na rafikizo ili usiwe bored
Siku zote nilikuwa najua bujubuji ni mwanaume.... Kumbe nungayembe... khaaa! kweli JF ni zaidi ya niijuayo.... (Nungayembe ni mwanamke asiyeolewa, kwa mujibu wa waanzilishi wa hili jina)
Jibu kwanza hoja ya D.A
Anakimbia anajifanya hajaona
Jamaa anajitahidi kukimbia kivuli chake lakini wapi.
Huu ni usanii wa pale manzese darajani
Nadhani huu msisitizo atauona Bujibuji tafadhali naomba majibu ya hoja zangu hapo juu
Jamaa anajitahidi kukimbia kivuli chake lakini wapi.
Huu ni usanii wa pale manzese darajani
Dena anakaba........mpaka penati.
Ha ha ha ha simwachii leo