Bujibuji seriously natangaza NDOA

Dena naona Bujibuji ameamua kukimbia..................
Alisahau kwamba anadeal na great thinkers pole zake
 
Mbona Ubungo uliuziwa mche wa sabuni ukadanganywa ni simu? Hayo mbona huyasemi?


Yaani wewe unachekesha mie nikanunue simu Ubungo stand nina wazimu ama kitu gani??? Haiwezekani ng'ooooo nakuheshimu ndo maana nilishangaa ulipoleta thread ya kisanii kubali yaishe umechemsha right????
 
Mbona Ubungo uliuziwa mche wa sabuni ukadanganywa ni simu? Hayo mbona huyasemi?
jibu swali la DA
quote_icon.png
By Bujibuji
Mke wangu mpenzi, nimemtoa kijijini.
Nimemuoa akiwa na bikira yake, hapo mwaka juzi mwishoni.
Mwaka huu Mungu akatusaidia, akabeba ujauzito.
usiku wa kuamkia leo kajifungua katoto kazuri ka kike.
Nilipoenda kumsalimia, nikapokelewa na manesi wenye hasira, wamenitukana sana na kunidhalilisha eti mi nimemuharibu mke wangu kwa kumwendea kinyume na maumbile.
Kwa kweli sijawahi kumfanya hivyo hata mara moja, na wala sina tabia hiyo.
Je nimfanye nini huyu mama watoto wangu??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom