Bujibuji: Wana jamvi wenzangu, invisible friends, natangaza ndoa.
Nimefika kikomo sasa nataka nifunge pingu za maisha.
Wachumba wangu wa JF tuliofanya matusi na wale tulio ishia kwenye cyber sex naomba muelewe kuwa hamna marefu yasiyo na ncha na mimi sasa nimefikia tamati ya njunji za holela, na sasa njunji rasmi na mtu rasmi.
Harusi yangu nataka niifanye mwezi wa kumi, it will be open to everyone, kwani sitaki mambo ya michango (but zawadi zinaruhusiwa).
Tutaendelea kufahamishana mengi kupitia jamvi letu adhimu la Jamii Forum.
Wenu mtiifu niliyechoka na unungayembe.
Bujibuji wa kibuyu cha Mbujimayi
Bujibuji:
Nimezodolewa na manesi Mke wangu mpenzi, nimemtoa kijijini.
Nimemuoa akiwa na bikira yake, hapo mwaka juzi mwishoni.
Mwaka huu Mungu akatusaidia, akabeba ujauzito.
usiku wa kuamkia leo kajifungua katoto kazuri ka kike.
Nilipoenda kumsalimia, nikapokelewa na manesi wenye hasira, wamenitukana sana na kunidhalilisha eti mi nimemuharibu mke wangu kwa kumwendea kinyume na maumbile.
Kwa kweli sijawahi kumfanya hivyo hata mara moja, na wala sina tabia hiyo.
Je nimfanye nini huyu mama watoto wangu?
Bujibuji unapotezea watu mda na post zako tafadhari!