Bujibuji seriously natangaza NDOA

Bujibuji seriously natangaza NDOA

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,432
Wana jamvi wenzangu, invisible friends, natangaza ndoa.
Nimefika kikomo sasa nataka nifunge pingu za maisha.
Wachumba wangu wa JF tuliofanya matusi na wale tulio ishia kwenye cyber sex naomba muelewe kuwa hamna marefu yasiyo na ncha na mimi sasa nimefikia tamati ya njunji za holela, na sasa njunji rasmi na mtu rasmi.
Harusi yangu nataka niifanye mwezi wa kumi, it will be open to everyone, kwani sitaki mambo ya michango (but zawadi zinaruhusiwa).
Tutaendelea kufahamishana mengi kupitia jamvi letu adhimu la Jamii Forum.
Wenu mtiifu niliyechoka na unungayembe.
Bujibuji wa kibuyu cha Mbujimayi
 
Du....
Bado najiuliza ni bujibuji tunaemfahamu au bujibuji mwingine
 
Hongera kama kweli, mi nilijua umeishaoa kumbe ilikuwa bado?
kila la kheli
 
Wana jamvi wenzangu, invisible friends, natangaza ndoa.
Nimefika kikomo sasa nataka nifunge pingu za maisha.
Wachumba wangu wa JF tuliofanya matusi na wale tulio ishia kwenye cyber sex naomba muelewe kuwa hamna marefu yasiyo na ncha na mimi sasa nimefikia tamati ya njunji za holela, na sasa njunji rasmi na mtu rasmi.
Harusi yangu nataka niifanye mwezi wa kumi, it will be open to everyone, kwani sitaki mambo ya michango (but zawadi zinaruhusiwa).
Tutaendelea kufahamishana mengi kupitia jamvi letu adhimu la Jamii Forum.
Wenu mtiifu niliyechoka na unungayembe.
Bujibuji wa kibuyu cha Mbujimayi

Umeamua kuingia kwenye jela ya malavi davi
 
Siku zote nilikuwa najua bujubuji ni mwanaume.... Kumbe nungayembe... khaaa! kweli JF ni zaidi ya niijuayo.... (Nungayembe ni mwanamke asiyeolewa, kwa mujibu wa waanzilishi wa hili jina)
 
Leo hii

Mke wangu mpenzi, nimemtoa kijijini.
Nimemuoa akiwa na bikira yake, hapo mwaka juzi mwishoni.
Mwaka huu Mungu akatusaidia, akabeba ujauzito.
usiku wa kuamkia leo kajifungua katoto kazuri ka kike.
Nilipoenda kumsalimia, nikapokelewa na manesi wenye hasira, wamenitukana sana na kunidhalilisha eti mi nimemuharibu mke wangu kwa kumwendea kinyume na maumbile.
Kwa kweli sijawahi kumfanya hivyo hata mara moja, na wala sina tabia hiyo.
Je nimfanye nini huyu mama watoto wangu?

Sijui ni nani huyu naomba jibu Bujibuji
 
Wana jamvi wenzangu, invisible friends, natangaza ndoa.
Nimefika kikomo sasa nataka nifunge pingu za maisha.
Wachumba wangu wa JF tuliofanya matusi na wale tulio ishia kwenye cyber sex naomba muelewe kuwa hamna marefu yasiyo na ncha na mimi sasa nimefikia tamati ya njunji za holela, na sasa njunji rasmi na mtu rasmi.
Harusi yangu nataka niifanye mwezi wa kumi, it will be open to everyone, kwani sitaki mambo ya michango (but zawadi zinaruhusiwa).
Tutaendelea kufahamishana mengi kupitia jamvi letu adhimu la Jamii Forum.
Wenu mtiifu niliyechoka na unungayembe.
Bujibuji wa kibuyu cha Mbujimayi

Jambo la heri hili. Nakutakia mafanikio mema rafiki yangu.
 
Hongera kama kweli, mi nilijua umeishaoa kumbe ilikuwa bado?
kila la kheli

kama ni kweli hongera,
weka no yako hapa tukupigie,vilevile tutakuchangia kukuonyesha umoja wetu hapa wana jf
harusi itakuwa wapi na mitaa ipi?weka mambo hadharani umekua sasa
 
Hongera kwa hatua na uamuzi uliofikia kwani sio lelemama inahitaji courage kufikia uamuzi huo na jiandae na challenges za maisha. Kumbuka kuwa ndoa sio uchumba ni dhamana yako na mwenza wako, akukubali ulivyo na wala wasije tokea watu kuwatenganisha, kumbuka kuwa ndoa njema hushauriwa na wanandoa wenyewe na wala sio majirani wala ndugu kutoka pande yoyote ile.
 
Siku zote nilikuwa najua bujubuji ni mwanaume.... Kumbe nungayembe... khaaa! kweli JF ni zaidi ya niijuayo.... (Nungayembe ni mwanamke asiyeolewa, kwa mujibu wa waanzilishi wa hili jina)
asante kwa taarifa, kumbe mshikaji ni bwabwa kama boflo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom