Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Heee huyu anakatwa jumlajumla network zitashika kweli!
mhhh mkuu MziziMkavu huyo ni mtu au kachongwa??????????yaaani bila ganzi!!!!!!!!!!!uwiiiiiiiiiiiiiiiii majanga kweli mbona nahisi kupiga ukelele mbele za watu miye??????????
hii ilikuwa nchini Kenya kijijini.The world is so big. where on earth this happened?
hiyo hata ukikimbia, utakuja katwa mbele ya wanao na wajukuu...Kwa stail iyo, hakatwi mtu hapa.