Anatembea na MAGUFULI kila mahala anapokwenda na anaripoti habari zake kwa bashasha kubwaa.. Ni utaratibu gani huu??
aliyeripoti jana mkutano wa CHADEMA naye analipwa na CHADEMA au Tundu Lissu au Lembeli, ache umbulula.
Anatembea na MAGUFULI kila mahala anapokwenda na anaripoti habari zake kwa bashasha kubwaa.. Ni utaratibu gani huu??
Kwahiyo huyu BUHOHELA nae gamba. atakuwa kavuta mkwanja mrefu sana.
Mbona CCM wameshaanza kampeni kitaaambo. Hiyo ni moja ya rafu za uchaguzi.
Magufuli pingamizi kwake ni muhimu
Anatembea na MAGUFULI kila mahala anapokwenda na anaripoti habari zake kwa bashasha kubwaa.. Ni utaratibu gani huu??
Ninanusa harufu ya waandishi wengi wa habari kununuliwa na kambi ya Magufuli.
Hapo kampeni bado hazija anza.
Mengi kusoma mchezo mapema., target yake ni vitalu tu vya gesi.
Soon lazima afukuzwe kazi.... Aende huko Radio Uhuru...
Anatembea na MAGUFULI kila mahala anapokwenda na anaripoti habari zake kwa bashasha kubwaa.. Ni utaratibu gani huu??
Anaweza akawa analipwa na team magamba kwa ajili ya kuripoti habari zao,sidhani kama kuna ubaya kwenye hilo
Huyu jamaa mchumia tumbo kinoma. Hata mi nimeshangaa
Wote wanafanya higyo. Hata Asraj (anayeripoti kampeni za CHADEMA) naye anafanya yaleyale ya Buhohela. Ndivyo waandishi wetu walivyo na yote hii ninhayo malipo ya pembeni wanayopewa na vyama!Nimekufatilia namna yako ya kuripoti shughuli uliyo kuwa assigned yaani msafara wa mgombea wa CCM na kugundua unachofanya sio sahihi kulingana na maadili ya kazi yako na heshima ya kituo unachowakilisha.
Unatia chumvi sana na k udanganya wazi nahisi unapata malipo ya ziada toka mahali na hiyo ni rushwa.
Nikupe mfano mmoja, Leo Magufuli alikuwa na tatizo la sauti, hiyo ni kawaida kutokana na mikutano mingi na kutumia nguvu kubwa jukwaani. Lakini ulivyo muongo na bila aibu ukawaambia watazamaji eti kuna jambo anasisitiza kwa sauti ya upole kuonyesha msisitizo wa jambo!
Huo ni uongo, sauti imekauka. Na una tabia ya kuongeza maneno yako hata kama hayajasemwa.
Tutaondoa imani kwa ITV kama ripota wao wanaanza tabia za kutiliwa shaka kujihusisha na rushwa. Nakumbuka hata kipindi cha Dakika 45 kulianza kuwepo hisia chafu dhidi yako.
Jirekebishe