kbosho
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 13,073
- 6,641
Sijui kwanini Uongozi ITV unamuacha huyu Jamaa aendelee kupotosha umma kwa jinsi afanyavyo.
inashangaza anajitaidi kumpamba mgombea wa CCM mpaka ana pitiliza na kugeuka kama mwanasiasa.
Sijui kwanini Uongozi ITV unamuacha huyu Jamaa aendelee kupotosha umma kwa jinsi afanyavyo.
Acha unafiki wewe mtoa hoja
Mtoa uzi naungana na wewe hata mimi nimestuka sana alipo sema mgombea anaongea kwa sauti ya upole kuonesha msisitizo..kha hivi huyu bihohera anaakili kweli..? Sina tatizo na itv ila huyu reporter itabidi wamkanye
Ujue wewe ni ziro kama sumaye wewe unaangalia TV mwenzako yupo na mgombea field nani anayeona kwa karibu.Nimekufatilia namna yako ya kuripoti shughuli uliyo kuwa assigned yaani msafara wa mgombea wa CCM na kugundua unachofanya sio sahihi kulingana na maadili ya kazi yako na heshima ya kituo unachowakilisha.
Unatia chumvi sana na kudanganya wazi nahisi unapata malipo ya ziada toka mahali na hiyo ni rushwa.
Nikupe mfano mmoja, Leo Magufuli alikuwa na tatizo la sauti, hiyo ni kawaida kutokana na mikutano mingi na kutumia nguvu kubwa jukwaani. Lakini ulivyo muongo na bila aibu ukawaambia watazamaji eti kuna jambo anasisitiza kwa sauti ya upole kuonyesha msisitizo wa jambo!
Huo ni uongo, sauti imekauka na una tabia ya kuongeza maneno yako hata kama hayajasemwa. Tutaondoa imani kwa ITV kama ripota wao wanaanza tabia za kutiliwa shaka kujihusisha na rushwa. Nakumbuka hata kipindi cha Dakika 45 kulianza kuwepo hisia chafu dhidi yako.
Jirekebishe
watu wanatema nyongo haah haaHuyu Jamaa Katokea Radio Kwizera Ngara Basi Anaona Hapo Kafika Sana
Wote wanafanya higyo. Hata Asraj (anayeripoti kampeni za CHADEMA) naye anafanya yaleyale ya Buhohela. Ndivyo waandishi wetu walivyo na yote hii ninhayo malipo ya pembeni wanayopewa na vyama!
Nimekufatilia namna yako ya kuripoti shughuli uliyo kuwa assigned yaani msafara wa mgombea wa CCM na kugundua unachofanya sio sahihi kulingana na maadili ya kazi yako na heshima ya kituo unachowakilisha.
Unatia chumvi sana na kudanganya wazi nahisi unapata malipo ya ziada toka mahali na hiyo ni rushwa.
Nikupe mfano mmoja, Leo Magufuli alikuwa na tatizo la sauti, hiyo ni kawaida kutokana na mikutano mingi na kutumia nguvu kubwa jukwaani. Lakini ulivyo muongo na bila aibu ukawaambia watazamaji eti kuna jambo anasisitiza kwa sauti ya upole kuonyesha msisitizo wa jambo!
Huo ni uongo, sauti imekauka na una tabia ya kuongeza maneno yako hata kama hayajasemwa. Tutaondoa imani kwa ITV kama ripota wao wanaanza tabia za kutiliwa shaka kujihusisha na rushwa. Nakumbuka hata kipindi cha Dakika 45 kulianza kuwepo hisia chafu dhidi yako.
Jirekebishe
Ndio huyu hapa...
Tukuyu mahudhurio yalikuwa very poor but picha anaonesha watu wa mbele bila kuchukua full coverage.