Buhohela analipwa na ITV, Magufuli au CCM?

Buhohela analipwa na ITV, Magufuli au CCM?

Analipwa na magufuli na si chama wala ITV make ktk msafara wa magufuli yuko buhohela,maela,Chacha na wapiga picha wawili.john Chacha kachukuliwa na ccm kufanya coverage,Emmanuel buhohela kaitwa na magufuli na Sam mahela naye yuko anatafuta fursa

Upo well informed, i think you are a part and parcel of that madudu.
 
Anatembea na MAGUFULI kila mahala anapokwenda na anaripoti habari zake kwa bashasha kubwaa.. Ni utaratibu gani huu??
sijui nikuite taahira. inawezekana kabisa. hivi unajua buhohela ni muajiriwa tu na anapangiwa kazi ya kufanya na maboss wake? nachelea kukuita taahira.
 
Nadhani mleta mada ni mvivu na mwenye fikra finyu. Sijui kama anatumwa na ujinga au shule kidogo ....chenga. ''Ehee Mungu wangu anagalia wako wako maana wanaangamia kwa ujinga''
 
Anatembea na MAGUFULI kila mahala anapokwenda na anaripoti habari zake kwa bashasha kubwaa.. Ni utaratibu gani huu??

Tehe tehe tehe, wewe uwezo wa kuja kujenga hoja ya maana katika jukwaa hili makini huna. Huku si kwa kina Kiba na Diamond.

Bado kijana mdogo bila shaka, wagombea kwa zama zote hutembea na waandishi kwenye kampeni. Kunakuwa na makubaliano maalum.
 
Msimu wa mavuno huu kaka ethics pembezoni umesahau jamila Omar was channel 10 alivokuwa anampamba mamvi. Mwacheni kijana nae ajenge hata kibanda hahhah
 
Ukabila na udini wako utakupeleka pabaya. Hivi wewe umesoma mpaka grade gani?

ukimwita huyo msomi professor mukandala utamwita nani mkuu? achana nae huyo jamaa sifa zote anazo mdini, mkabila, mbaguzi, mchoyo, mwana kiherehere, mpenda sifa na ni mpuuzi aliyetukuka kama siyo kupindukia kabisa.
 
Hawezi kufukuzwa sababu yupo na rais magufuli hahahaha mwaka mtamu huu, na akifukuzwa ataenda white house.punguza wivu

Ninanusa harufu ya waandishi wengi wa habari kununuliwa na kambi ya Magufuli.
Hapo kampeni bado hazija anza.
Mengi kusoma mchezo mapema., target yake ni vitalu tu vya gesi.
 
sijui nikuite taahira. inawezekana kabisa. hivi unajua buhohela ni muajiriwa tu na anapangiwa kazi ya kufanya na maboss wake? nachelea kukuita taahira.

kama wewe unachelea mkuu mimi naomba nimuite " ngumbaru ".
 
Anatembea na MAGUFULI kila mahala anapokwenda na anaripoti habari zake kwa bashasha kubwaa.. Ni utaratibu gani huu??

Mimi niongezee hapo na magufuli naye bado kodi zetu zinamlipa mshahara kama waziri wa ujenzi au vipi? Muda mwingi anautumia kwenye kampeni hizi zisizo rasmi ambazo macho ya Mzee Lubuva yameganzishwa hayawezi kuziona. Nakumbuka wakati wa kikwete 2005 mpaka kipindi cha kampeni bado aliendelea kuwa waziri wa mambo ya nje wakati muda wote alikuwa anautumia kwenye kampeni. Haya mambo mengine yanatia aibu mpaka basi holeholea mwanzo mwisho.
 
tulieni sindano ziwaingie vizuri......nakipenda sana kile kibwagizo cha nyimbo ya kampeni ya tot kinachosema " tumejipanga mwaka huu mtaisoma "
 
Back
Top Bottom