Buguruni ni zaidi ya Uwanja wa Fisi

Buguruni ni zaidi ya Uwanja wa Fisi

So kila mwenye ugum wa maisha akauze uchi? Km mjin hakuna mashamba nawashauri waende kijijini wakalime.
 
Kama kweli vile! Eti akina baba nanihii mnafanyaje my wife zenu wakigoma? Halafu nasikia wenyemagari ndo mnaongoza kwa kufanya kama mmekosea njia, nawengine kama mnawahi foleni alfajiri au kusingizia foleni kumbe mama nanihii kakunyima unapitia viwanja kupoza

mtoto anae shiba kwao hua hali kwa jirani. vivyo hivyo baba anaepewa uroda home
 
Nashangaa sana mtu anaposema eti ni buguruni tu..... Ni kwamba siku hizi kila kona wanawake wanajiuza, we jiulize huku mtaani unamtongoza demu then anategemea umpe chochote sasa huyu anauza ama?
 
Utafiti unaonesha kuwa mabinti hawa wengi wametoka mikoa mbalimbali. Madanguro yanayofahamika kama ya Wahaya nayo yamejaa Dar nzima. Nasikia hizi ni kama ofisi ambazo zimewainua sana kimaisha akina mama hawa. Hawana shida ya kujiunga na Saccos au vikoba.
 
Kuwazuia kuuza nyuchi bila kuwapa alternative source of income ni sawa na kupepeta maji. Alikuja makamba akawa-arrest sana tu lakini hawakupungua, badala yake wameongezeka zaidi. Njia sahihi ya ku-deal na hao 'watoa huduma' ni ku-legalize biashara zao, wapewe EFD's waanze kulipa kaodi halali ya serikali.
 
The government can control prostitutoon from both the demand and the supply side. they did it in the USSR and its satelites before thecollapse of communism. we do not control it this end because of lack of political will.
 
Wakazi wengi wa Dar es Salaam wanajua kuwa eneo lenye vituko vjngi ni Uwanja wa Fisi pale Manzese. Hata hivyo, Buguruni ya leo ni zaidi ya maeneo yote unayojua.

Katika eneo hili kuna madanguro mengi sana. Nyuchi zinauzwa mchana kweupee. Baa kama Sewa na Kimboka ni maficho ya wauza miili.
Visichana vidogo vinajiuza hadharani.

Halafu vimepanga na bei. Kunawa shilingi 500 tu, kula shilingi elfu moja hafi tatu. Sewa inatazama kituo cha polisi lakini ndipo mabinti wanafanya bkashara ya ngono kweupee.

Wana JF tujiulize, nani wa kutuokoa?

Msanii kamanda Kova pekee ndiye wa kutuokoa.
 
Nashangaa sana mtu anaposema eti ni buguruni tu..... Ni kwamba siku hizi kila kona wanawake wanajiuza, we jiulize huku mtaani unamtongoza demu then anategemea umpe chochote sasa huyu anauza ama?
Hata makazini/maofisini wadada zetu wanajiuza pia. Ila wanatofautiana na hao wa buguruni kwa style tu.
 
Dada zetu hawapendi jamani ni ugumu wa maisha tu.Kila mtu anapenda maisha mazuri.

Maisha mazuri yanapatikana kwa kulipwa Sh. 500?
...no way...
kuna watu hawatimizi majukumu waliyopewa period
 
Sasa wafanyeje kama hawaoni pa kutokea! Wanadhani ni uchi pekee ndo utawalipa,
Pia tatzo ni wanunuzi, wakiacha kwenda hii biashara itakufa kama ilivyokufa NCCR MAGEUZI
 
Kama huwezi kuwashinda basi ungana nao. Biashara yao haiwezi kutokomezwa tena so bora tuiharalishe ili tupate kodi. Tena wafunge mashine za efd kabisa.

wazo zuri kimaendeleo,Sasa TRA watakagua vipi risiti za wateja kujua kama kweli walicholipa ndicho walichohudumiwa?au watafunga kamera then mwisho wa mwezi wanavuta taarifa

Sasa kwa wale wadada ambao wapo mobile zoezi litafanyika vipi?
 
Vyuchi ndio uwingi wa Uch..! Kweli lugha inakuwa. Hii hali inatia hasira sana, lakini wengi wao wanasukumwa na ugumu wa maisha.
Nimefurahishwa na kukua kwa lugha yetu ya kiswahili. Ni kweli wingi wa nyuchi ni vyuchi na umoja je, tuite uchi au kauchi?
 
Ungo--nyungo
Uma--nyuma

Hii ni ngeli ya U--ny

Uchi-nyuchi.
 
mkuu hiyo kweli kabisa, buguruni ni zaidi ya uwanja wa fisi, sewa, kimboka halafu kuna uchochoro mmoja unatokea y2k kutokezea barabarani kwa wauza mbao, hapo kuanzia saa moja usiku, zinauzwa kama vitumbua, kina dada huwa wamepangana mstari mrefu wakisubiri wateja na bahati nzuri kuna guest bubu hapo hapo, kigongo guest house pia kuna kina dada poa wamepanga humo ndani yaani ni fujo kwenda mbele, madau yao chapu chapu inaanzia 3000/- huduma ya ziada ni maongezi, tunaomba idara husika watuokoe na hii hali jamani
Acha uchokonozi mkuu,hapo ndo tunapopunguzia stress zetu au unataka tuanze kutongoza wake za watu???
 
mkuu hiyo kweli kabisa, buguruni ni zaidi ya uwanja wa fisi, sewa, kimboka halafu kuna uchochoro mmoja unatokea y2k kutokezea barabarani kwa wauza mbao, hapo kuanzia saa moja usiku, zinauzwa kama vitumbua, kina dada huwa wamepangana mstari mrefu wakisubiri wateja na bahati nzuri kuna guest bubu hapo hapo, kigongo guest house pia kuna kina dada poa wamepanga humo ndani yaani ni fujo kwenda mbele, madau yao chapu chapu inaanzia 3000/- huduma ya ziada ni maongezi, tunaomba idara husika watuokoe na hii hali jamani
Embu tuelekeze vizuri ili tuanze kufanyia utafiti
 
Back
Top Bottom