Buguruni ni zaidi ya Uwanja wa Fisi

Buguruni ni zaidi ya Uwanja wa Fisi

Wanawasaidia wale madomo zege! nasikia wanatembea kabisa na vile vikopo vya KY..
 
Sasa tufanyeje? kila mtu anaelezea tatizo lilivyo lakini hakuna anayetoa ushauri au kupendekeza kitu cha kufanya ili kukomesha tatizo hili
 
Wakazi wengi wa Dar es Salaam wanajua kuwa eneo lenye vituko vjngi ni Uwanja wa Fisi pale Manzese. Hata hivyo, Buguruni ya leo ni zaidi ya maeneo yote unayojua.

Katika eneo hili kuna madanguro mengi sana. Nyuchi zinauzwa mchana kweupee. Baa kama Sewa na Kimboka ni maficho ya wauza miili.
Visichana vidogo vinajiuza hadharani.

Halafu vimepanga na bei. Kunawa shilingi 500 tu, kula shilingi elfu moja hafi tatu. Sewa inatazama kituo cha polisi lakini ndipo mabinti wanafanya bkashara ya ngono kweupee.

Wana JF tujiulize, nani wa kutuokoa?

Mkuu Kichapo13 tunashukuru kwa taarifa hii ni matumaini yangu mamlaka zinzohusika zitachukua hatua madhubuti. Ila kwa mtazamo mwengine naona kama hii thread inayatangaza hayo maeneo tajwa na kuvutia wateja wengi siunajua kuna wengi wanapenda mteremko
 
Habari hii aipate KAPUYA. labda ataacha kubaka wanafunzi, na yule aliemfunga Babu Seya kwa sababu ya uchi mwambieni zipo nyingi Buguruni..
 
Hongera kwa kusogeza huduma karibu.

Maisha ni magumu, vijana wanakimbizana na noti. Hawana muda wa kukimbizana na wanawake.

Kwa pesa ndogo unapata huduma kwa kiwango cha kutosha.

.
 
wadau wale wasokoni kule almaarufu kwa wahaya bado wapo buku mbili tu unaosha rungu?
 
.....Ikiwa hata 500 unapata kukidhi haja,unafikiri ni nani katika hawa masharobaro wetu ataoacha kwenda hapo?
ni vigumu sana maana vijana wengi wamekosa maadili,biashara hii inaweza kukoma once pombe itakapo acha kunywewa kwa kiasi kikubwa,maana Pombe ndio mama wa maasi,mtu akisha lewa basi mwisho anakwenda danguroni kupata ile kitu. Kwa maana hio maambukizi ya VVU yatakua juu kila uchao.
 
wengi wa wateja wao ni watu na wake zao. jiulize kwa nini wanakwenda Bugurunu. utafiti unaonyesha kwamba wanawake walioolewa hawawapi waume zao kitu na box. wanabania bania eti wamechoka mara wako bize wakati dume linahitaji labda miezi miwili mama hajatoa mgao. Unategemea nini
 
wengi wa wateja wao ni watu na wake zao. jiulize kwa nini wanakwenda Bugurunu. utafiti unaonyesha kwamba wanawake walioolewa hawawapi waume zao kitu na box. wanabania bania eti wamechoka mara wako bize wakati dume linahitaji labda miezi miwili mama hajatoa mgao. Unategemea nini

Makubwa!
 
hakuna jambo linalonihuzunisha maishani mwangu kama hilo.huwa nikipita hapa Sinza Mori jioni kuelekea kwangu,inabidi nipite upande wa pili wa barabara ili nisikutane nao maana sometimes wanakuwa wamechacha haswa hawana hata ya kula,wakikukaba?Ila kinachoniuma zaidi ni viongozi serikalini, hususani vitengo katika wizara husika,Je!wamefika ukomo wa kimawazo kuhusu suluhu ya jambo hili? wengi wao huanzia huku kwenye uchokoraa(sorry kwani hilo jina pia sio zuri) na viongozi wanawaona tangu wakiwa watoto wa mitaani, hadi kufikia hatua ya kuamua kujiuza kwani huku kwenye maisha yao hayo wamezoea kubakwa na kufanyiwa kila aina ya unyama!This is so bitter kwa kweli!Ifike mahali sasa hata katika Chaguzi zijazo, haya mambo yawe Addressed ipasavyo!Kiongozi asiyekubali haya matatizo kuwa katika ilani yake ya uchaguzi, basi tusimpe kura kabisa!Pia asasi za kiraia ziko wapi?mashirika ya kutetea haki za watoto na wanawake yako wapi?Au ndo yamekuwa chanzo cha mapato kwa wajanja?
INAUMA KWA KWELI!!!!!!!!!!TUSEME HAPANA, IMETOSHA!!!!!!!!!!!!!!

Hii ni moja ya biashara kongwe kabisa duniani. Iko hata ktk vitabu vya dini.
Lakini simaanisji tuache kupambana nayo. Tatizo lililopo hata hao wasimamizi huhitaji hiyo huduma. Ni kama RUSHWA, anaetoa anaifurahia na anaeipokea pia anaifurahia.
Ugumu wa maisha, gap kati ya walionacho na wasionacho ni sababu pia.
 
Yaani bongo kila kitu kipo na kwa gharama yoyte, jamani ni tatzo bt miji mikubwa yote hapa duniani n kawaida sana.
We km n mdau ndo ss uache ili waache busnes hyo.
 
kinamama ya jumbani kama itatimiza wajibu wao kwa waume zao mbona hii biashara itapungua. Tunajua mke wa ndani ni mtamu kuliko changu. tatizo ni kwamba hakupi papuchu inavyostahili. yaani daily
 
Wakazi wengi wa Dar es Salaam wanajua kuwa eneo lenye vituko vjngi ni Uwanja wa Fisi pale Manzese. Hata hivyo, Buguruni ya leo ni zaidi ya maeneo yote unayojua.

Katika eneo hili kuna madanguro mengi sana. Nyuchi zinauzwa mchana kweupee. Baa kama Sewa na Kimboka ni maficho ya wauza miili.
Visichana vidogo vinajiuza hadharani.

Halafu vimepanga na bei. Kunawa shilingi 500 tu, kula shilingi elfu moja hafi tatu. Sewa inatazama kituo cha polisi lakini ndipo mabinti wanafanya bkashara ya ngono kweupee.

Wana JF tujiulize, nani wa kutuokoa?
Napafahamu hapo ni karibu na makao Mkuu ya CUF
Viongozi wengi wa CUF wanashinda hapo!!!!!!!!!!
 
Cha msingi wapewe EFDs wawe wanatoa na risit kuchangia pato la taifa hiyo Ni biashara kama bizines zingine Tu.
 
one day nilikuwa hardware ya yemen enterprises buguruni shell,nikakutana na kabinti kama 14 years albino nae anajiuza!tena kipindi hicho albino walikuwa wanatafutwa sana viungo vyao!
nilimwita binti nimuambie madhara hiyo biashara kwako niliambulia mitusi ya ndani ya nguo!

Yule albino noma anakula vichwa yule balaa wateja wanamuita mzungu.
 
Back
Top Bottom