Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,980
one day nilikuwa hardware ya yemen enterprises buguruni shell,nikakutana na kabinti kama 14 years albino nae anajiuza!tena kipindi hicho albino walikuwa wanatafutwa sana viungo vyao!
nilimwita binti nimuambie madhara hiyo biashara kwako niliambulia mitusi ya ndani ya nguo!
nilimwita binti nimuambie madhara hiyo biashara kwako niliambulia mitusi ya ndani ya nguo!