Bruce Lee wa kitaa...

Bruce Lee wa kitaa...

leh

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Posts
829
Reaction score
376
baada ya kuangalia movie za Bruce Lee na wachina wengine siku nzima, mi na rafiki yangu tunajiona kama tumekuwa masters wa Kung-Fu. Haha

10si4o4.jpg
 
bongo mpaka ushibe mkuu kazi nayo
 
Wewe ndo huyo aliyesuka? Mwanaume mzima eti linaenda saluni kusuka LoL, call me old type but its just disgusting....
 
Kama alijiegesha ili apigwe picha vile...
 
Hakuna cha zoezi hapo la maana; sema mko kwenye maandalizi ya kuliwa...
 
ni washamba wote, kwanza anarusha teke wakati amegeukia kwingine anatuangalia sisi, uyo adui yake si atammaliza? hata huyo wa kushoto ambaye anaonekana kama anamwangalia sehemu nzuri ya kustrike bado ningekuwa mimi ivyo vidole vyake vya mikono vingevunjika vyote, anablock vipi hayo mateke?....madada tu hawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom