Mlinzi Shujaa_
Member
- Mar 30, 2020
- 71
- 106
1. KARATE NA KUNG FU
katika karate na kung fu mlinzi shujaa alichukua physical exercises, breathing exercises, misingi ya ngumi, mateke, mbinu za mkono wazi na mbinu za kuzuia mashambulizi ya adui, mazoezi ya kuimarisha mikono na miguu ili kuifanya iwe imara kama chuma pamoja na ufundi wa kukabiliana na adui mmoja ( sparring ).
2. JAPANESE JUJITSU
katika jujitsu mlinzi alichukua mbinu za kukabiliana na adui chini, mbinu za kufunga viungo ( joint locks ) , mbinu za kutumia nguvu ya adui dhidi yake mwenyewe, sehemu za kupiga ( target areas ) , miondoko movements or footwork, mbinu za kujitoa pindi mtu ataposhikwa au kukabwa ka kabali ghafla, jinsi ya kumdhibiti adui mwenye kisu, upanga, nondo, chupa na kadhalika.
3. KENPO
katika kenpo mlinzi alichukua ufundi wa kutoa mashambulizi mfululizo yenye kasi na ghafla, kwa kutumia mikono au miguu, au mikono na miguu kwa pamoja, misingi ya kupigana na adui zaidi ya mmoja/ kundi la wahalifu, mazoezi ya kuimarisha macho, na jinsi ya kutumia mazingira kama silaha ya kumjeruhi vibayau adui au ngao ya kuzuia mashambulizi ya adui.
4. JEET KUNE DO
mlinzi alichukua mbinu za burst kicks, finger jab, stance, guard position na jinsi ya kukabiliana na baunza au mtu kibonge mwenye nguvu nyingi.
5. UNARMED COMBAT NA COMBATIVES
mlinzi alichukua mbinu za kukabiliana na adui wenye silaha za moto, kama vile oistol au rifle, na jinsi ya kujilinda pindi untapo kuwa katika mazingira magumu sana au hatari sana ya vita .