Brother mpe mkeo vitu hivi atafarijika

Brother mpe mkeo vitu hivi atafarijika

Amani ya Moyo Wa Mwanamke ni Kitu Cha Thamani Mno Katika Maisha ya Mwili wake na Akili yake na Pia,
ni Kitu Pekee na Zawadi ya Hali ya Juu inayompa Faraja na Kumdhihirishia Ishara Ya Upendo,
Mahabbah,
Hubba na Kuthaminiwa.

Na Wala Haridhishwi na Kero,,
Ubabe,
Kufokewa kila Wakati na Kudharauliwa Mara Kwa Mara,
na Kuonekana Kuwa Nafasi ya Thamani yake Kwa Mume Wake ni ya Hadhi ya Nyama ya Mbwa mfu,
Hadhi Isiyoguswa
,Isiyonuswa,
Isiyosogelewa wala Isiyoshikiliwa Kutokana na Uchafu wake na Unajsi wake. Usiwe Hivyo Ndugu yangu.
Kila Unapomuumiza Mkeo Katika Hisia Zake,,
Basi Hupururuka Amani ya Moyo Wake.

MFANYIE HAYA MKEO KUANZIA LEO.

[emoji117]1.TENGA MUDA WA KUKAA NAYE.
Kama haukuwa na Utaratibu wa Kuketi Sehemu tulivu na Mkeo Mkazungumza Yaliyo ndani ya Mioyo yenu kabla Hata ya Kulala kwenu,
Basi Jua Umeshautia Madoa Moyo Wake na Kuzikwaruza Hisia Zake.
Tenga Muda wa Kukaa na Mkeo Hata Kwa Dk10,,
Ukisikilize Alichonacho nawe Umpe Ukichonacho.

[emoji117]2.KILAINISHE KINYWA CHAKO JUU YAKE.
Kuwa na Maneno Matamu na Lainiii yaliyojawa Mahabbah na Hubba la Mazungumzo Yenye Upole wa Mawimbi Kila Mara Uzungumzapo na Mke Wako.
Kamwe Usiwe ni mtu Wa Kufoka foka Juu yake,,,
Hata Akikukosea Mweleze Makosa Yake kwa Upole na Mahabbah ya Hali ya Juu, Atakuelewa Wala Hatokupuuza,,
na Utafurahika Moyo wake na Hatokuchoka Ndani ya Moyo wake.
Lugaha Tamu yenye Upole Inaeleweka Mno kwa Mke Wako Kuliko Kufoka Kwako.

[emoji117]3.KUWA RAFIKI KWAKE NA MSAIDIZI WAKE
Mapambano Ya Furaha Ya Moyo wa Mkeo Hayatofanikiwa Isipokuwa Kwa Weredi Wako wa Kushiriki kwako,
Juwa Kuwa Mkeo naye Ni Mwanadamu Huwa Anachoka na Anahitaji Mapumziko,,
Jitahidi kwa Kadri ya Uwezo wako Kumsaidia Mke Baadhi ya Shughuli za Ndani Kwako.
Hata Kama Huwa Hazimchoshi wala Kumuumiza; Lakini Jua Kumsaidia kwako Kutazigusa Hisia Zake na Kuyanyanyua Mapenzi yake. Cheka naye, Taniana naye,
Mpe kila Anachostahili maana Huyo Ni Mkeo.

[emoji117]4.JIWEKE KARIBU NA MWILI WAKE.
Mume juwa Kuwa "Wewe ni Vazi kwa Mkeo naye ni Vazi kwako Wewe"
Iweke Mikono yako Urafiki wa Karibu na Mwili wa Mke Wako,
Mkumbatie Mkeo Kila Uingiapo Ndani Kwako,
Na Usiiweke Mbali na Mwili Wake Pale Mzungumzapo,
na Kijaalie Kichwa Chake Kuwa ni Halali ya Kifua Chako,
Kuwa Msaidizi Wa Kuusafisha Mwili wake Pale Muogapo na Kumpaka Mafuta yake kwa Mikono yako,
na Usiache Kumvalisha Mavazi yake Pale Mmalizapo kuoga.
Blaza utafanya hayo yote lakini atatokea kugongwa na dereva bodaboda kisa tu dereva boda kanyoa kiduku na wewe unanyoa low cut...hao ndio wanawake
 
Mkuu hiyo namba mojana utafutaji wa hela havikai pamoja..

Walisha tuambia tutafute hela ..sasa wewe katenge muda wa kukaa nae mkeo / mwanamke uone kama hatokuchoka mapema
 
Bila pesa ni ndoto za alinacha zote hzo

Wenye pesa nao ni malalamiko tu! Ukipata nafasi peleka moto kwa mke mpenzi..... lakini pia jiandae na lolote kuachwa, kuachana au kukaziwa hamna tendo, yni hawa watu hamna mfumo maalumu sijui ufanye hivi au vile...... ni kwenda na upepo wao unapovuma
 
Bila pesa ni ndoto za alinacha zote hzo

Hakuna cha pesa mkuu nishawai mtokea beki3 na akanikazia hata kunipa namba, ingekuwa ni pesa yule binti asingeruka maana ananijua na anajua status yangu mtaa ikoje lakini dogo alikaza ile ile..... mapenzi sio kuwa na pesa yani ni ukimpata mnaendana ishi nae akizingua muache asepe usifosi, habari ya mapenzi ni ngumu sana mkuu!!
 
Amani ya Moyo Wa Mwanamke ni Kitu Cha Thamani Mno Katika Maisha ya Mwili wake na Akili yake na Pia,
ni Kitu Pekee na Zawadi ya Hali ya Juu inayompa Faraja na Kumdhihirishia Ishara Ya Upendo,
Mahabbah,
Hubba na Kuthaminiwa.

Na Wala Haridhishwi na Kero,,
Ubabe,
Kufokewa kila Wakati na Kudharauliwa Mara Kwa Mara,
na Kuonekana Kuwa Nafasi ya Thamani yake Kwa Mume Wake ni ya Hadhi ya Nyama ya Mbwa mfu,
Hadhi Isiyoguswa
,Isiyonuswa,
Isiyosogelewa wala Isiyoshikiliwa Kutokana na Uchafu wake na Unajsi wake. Usiwe Hivyo Ndugu yangu.
Kila Unapomuumiza Mkeo Katika Hisia Zake,,
Basi Hupururuka Amani ya Moyo Wake.

MFANYIE HAYA MKEO KUANZIA LEO.

[emoji117]1.TENGA MUDA WA KUKAA NAYE.
Kama haukuwa na Utaratibu wa Kuketi Sehemu tulivu na Mkeo Mkazungumza Yaliyo ndani ya Mioyo yenu kabla Hata ya Kulala kwenu,
Basi Jua Umeshautia Madoa Moyo Wake na Kuzikwaruza Hisia Zake.
Tenga Muda wa Kukaa na Mkeo Hata Kwa Dk10,,
Ukisikilize Alichonacho nawe Umpe Ukichonacho.

[emoji117]2.KILAINISHE KINYWA CHAKO JUU YAKE.
Kuwa na Maneno Matamu na Lainiii yaliyojawa Mahabbah na Hubba la Mazungumzo Yenye Upole wa Mawimbi Kila Mara Uzungumzapo na Mke Wako.
Kamwe Usiwe ni mtu Wa Kufoka foka Juu yake,,,
Hata Akikukosea Mweleze Makosa Yake kwa Upole na Mahabbah ya Hali ya Juu, Atakuelewa Wala Hatokupuuza,,
na Utafurahika Moyo wake na Hatokuchoka Ndani ya Moyo wake.
Lugaha Tamu yenye Upole Inaeleweka Mno kwa Mke Wako Kuliko Kufoka Kwako.

[emoji117]3.KUWA RAFIKI KWAKE NA MSAIDIZI WAKE
Mapambano Ya Furaha Ya Moyo wa Mkeo Hayatofanikiwa Isipokuwa Kwa Weredi Wako wa Kushiriki kwako,
Juwa Kuwa Mkeo naye Ni Mwanadamu Huwa Anachoka na Anahitaji Mapumziko,,
Jitahidi kwa Kadri ya Uwezo wako Kumsaidia Mke Baadhi ya Shughuli za Ndani Kwako.
Hata Kama Huwa Hazimchoshi wala Kumuumiza; Lakini Jua Kumsaidia kwako Kutazigusa Hisia Zake na Kuyanyanyua Mapenzi yake. Cheka naye, Taniana naye,
Mpe kila Anachostahili maana Huyo Ni Mkeo.

[emoji117]4.JIWEKE KARIBU NA MWILI WAKE.
Mume juwa Kuwa "Wewe ni Vazi kwa Mkeo naye ni Vazi kwako Wewe"
Iweke Mikono yako Urafiki wa Karibu na Mwili wa Mke Wako,
Mkumbatie Mkeo Kila Uingiapo Ndani Kwako,
Na Usiiweke Mbali na Mwili Wake Pale Mzungumzapo,
na Kijaalie Kichwa Chake Kuwa ni Halali ya Kifua Chako,
Kuwa Msaidizi Wa Kuusafisha Mwili wake Pale Muogapo na Kumpaka Mafuta yake kwa Mikono yako,
na Usiache Kumvalisha Mavazi yake Pale Mmalizapo kuoga.
Wanawake wa siku hizi ni kama chura. Chura haeleweki amekaa, amesimama au amelala
 
Wakati huo na yy anafanya nn?

Hayo mambo ni win win situation so toa ushauri Kwa watu wote 2
 
HuKu mwanamke anaupondwa kule anasifiwa,duh tufuate lipi
 
Kuna mtu ana picha ya extrovet

IMG_8613.jpg

Ni huyu [mention]Extrovert [/mention]
 
Nyusi mbofu mbofu

Unakuwa hivyo na unachapiwa kiulaini kabisa.

Jamaa linakunywa bia limekaa pembeni unachorwa tu. Mke lazima uwe ukali,katili,jambazi, rough sex, deep voice, hardcore,bwax, mkiongea ajue anaongea na mume. Dume.

Sio gay men. Ukitaka mzigo japo haitaki hata pichu huvui taratibu ni kwa nguvu na ikiwezekana chana pichu tupa kule. Kuhusu tunda unakandamiza, unadidimiza sio nyoronyoro wanawake hataki slow slow
 
Amani ya Moyo Wa Mwanamke ni Kitu Cha Thamani Mno Katika Maisha ya Mwili wake na Akili yake na Pia,
ni Kitu Pekee na Zawadi ya Hali ya Juu inayompa Faraja na Kumdhihirishia Ishara Ya Upendo,
Mahabbah,
Hubba na Kuthaminiwa.

Na Wala Haridhishwi na Kero,,
Ubabe,
Kufokewa kila Wakati na Kudharauliwa Mara Kwa Mara,
na Kuonekana Kuwa Nafasi ya Thamani yake Kwa Mume Wake ni ya Hadhi ya Nyama ya Mbwa mfu,
Hadhi Isiyoguswa
,Isiyonuswa,
Isiyosogelewa wala Isiyoshikiliwa Kutokana na Uchafu wake na Unajsi wake. Usiwe Hivyo Ndugu yangu.
Kila Unapomuumiza Mkeo Katika Hisia Zake,,
Basi Hupururuka Amani ya Moyo Wake.

MFANYIE HAYA MKEO KUANZIA LEO.

[emoji117]1.TENGA MUDA WA KUKAA NAYE.
Kama haukuwa na Utaratibu wa Kuketi Sehemu tulivu na Mkeo Mkazungumza Yaliyo ndani ya Mioyo yenu kabla Hata ya Kulala kwenu,
Basi Jua Umeshautia Madoa Moyo Wake na Kuzikwaruza Hisia Zake.
Tenga Muda wa Kukaa na Mkeo Hata Kwa Dk10,,
Ukisikilize Alichonacho nawe Umpe Ukichonacho.

[emoji117]2.KILAINISHE KINYWA CHAKO JUU YAKE.
Kuwa na Maneno Matamu na Lainiii yaliyojawa Mahabbah na Hubba la Mazungumzo Yenye Upole wa Mawimbi Kila Mara Uzungumzapo na Mke Wako.
Kamwe Usiwe ni mtu Wa Kufoka foka Juu yake,,,
Hata Akikukosea Mweleze Makosa Yake kwa Upole na Mahabbah ya Hali ya Juu, Atakuelewa Wala Hatokupuuza,,
na Utafurahika Moyo wake na Hatokuchoka Ndani ya Moyo wake.
Lugaha Tamu yenye Upole Inaeleweka Mno kwa Mke Wako Kuliko Kufoka Kwako.

[emoji117]3.KUWA RAFIKI KWAKE NA MSAIDIZI WAKE
Mapambano Ya Furaha Ya Moyo wa Mkeo Hayatofanikiwa Isipokuwa Kwa Weredi Wako wa Kushiriki kwako,
Juwa Kuwa Mkeo naye Ni Mwanadamu Huwa Anachoka na Anahitaji Mapumziko,,
Jitahidi kwa Kadri ya Uwezo wako Kumsaidia Mke Baadhi ya Shughuli za Ndani Kwako.
Hata Kama Huwa Hazimchoshi wala Kumuumiza; Lakini Jua Kumsaidia kwako Kutazigusa Hisia Zake na Kuyanyanyua Mapenzi yake. Cheka naye, Taniana naye,
Mpe kila Anachostahili maana Huyo Ni Mkeo.

[emoji117]4.JIWEKE KARIBU NA MWILI WAKE.
Mume juwa Kuwa "Wewe ni Vazi kwa Mkeo naye ni Vazi kwako Wewe"
Iweke Mikono yako Urafiki wa Karibu na Mwili wa Mke Wako,
Mkumbatie Mkeo Kila Uingiapo Ndani Kwako,
Na Usiiweke Mbali na Mwili Wake Pale Mzungumzapo,
na Kijaalie Kichwa Chake Kuwa ni Halali ya Kifua Chako,
Kuwa Msaidizi Wa Kuusafisha Mwili wake Pale Muogapo na Kumpaka Mafuta yake kwa Mikono yako,
na Usiache Kumvalisha Mavazi yake Pale Mmalizapo kuoga.

Mtu mmekutana vitovu vimekauka, bado unawaza kuunda terms and conditions za kumdhibiti?

Bidada akipenda kujitunza na kujilinda kwa ajili yako peke yako atatenda hivyo bila kujali hali yako kiuchumi, kijamii na kisiasa. Asipopenda kujitunza kwa ajili yako huna namna. Hata ukimpa mbingu na nchi na vyote vilivyomo. Achana na hizi pyschological theories.

Ndiposa imeandikwa, mke mwema hutoka kwa Mungu. Kama huamini Mungu akupe mke mwema, jiandae kuteseka, kusalitiwa na kudharauliwa kwenye mapenzi
 
Mwanamke bila ukorofi atakusumbua sana, anatakiwa asijue mwelekeo wako, ina maana asijue unakasirika saa ngapi, una cheka saa ngapi, utamtoa out saa ngapi na uta mchenjia saa ngapi. Ndio formula ya wanawake. Ninae mwaka wa kumi na nne sasa hivi.
.
 
Amani ya Moyo Wa Mwanamke ni Kitu cha Thamani Mno Katika Maisha ya Mwili wake na Akili yake na Pia, ni Kitu Pekee na Zawadi ya Hali ya Juu inayompa Faraja na Kumdhihirishia Ishara Ya Upendo, Mahabbah, Hubba na Kuthaminiwa.

Na Wala Haridhishwi na Kero,,
Ubabe. Kufokewa kila Wakati na Kudharauliwa Mara Kwa Mara,
na Kuonekana Kuwa Nafasi ya Thamani yake Kwa Mume Wake ni ya Hadhi ya Nyama ya Mbwa mfu, Hadhi Isiyoguswa, Isiyonuswa. Isiyosogelewa wala Isiyoshikiliwa Kutokana na Uchafu wake na Unajsi wake.

Usiwe Hivyo Ndugu yangu.
Kila Unapomuumiza Mkeo Katika Hisia Zake, Basi Hupururuka Amani ya Moyo Wake.

MFANYIE HAYA MKEO KUANZIA LEO.

[emoji117]1.TENGA MUDA WA KUKAA NAYE.
Kama haukuwa na Utaratibu wa Kuketi Sehemu tulivu na Mkeo Mkazungumza Yaliyo ndani ya Mioyo yenu kabla Hata ya Kulala kwenu, Basi Jua Umeshautia Madoa Moyo Wake na Kuzikwaruza Hisia Zake.

Tenga Muda wa Kukaa na Mkeo Hata Kwa Dk10, Ukisikilize Alichonacho nawe Umpe Ukichonacho.

[emoji117]2.KILAINISHE KINYWA CHAKO JUU YAKE.
Kuwa na Maneno Matamu na Lainiii yaliyojawa Mahabbah na Hubba la Mazungumzo Yenye Upole wa Mawimbi Kila Mara Uzungumzapo na Mke Wako.
Kamwe Usiwe ni mtu Wa Kufoka foka Juu yake.

Hata Akikukosea Mweleze Makosa Yake kwa Upole na Mahabbah ya Hali ya Juu, Atakuelewa Wala Hatokupuuza,
na Utafurahika Moyo wake na Hatokuchoka Ndani ya Moyo wake.

Lugaha Tamu yenye Upole Inaeleweka Mno kwa Mke Wako Kuliko Kufoka Kwako.

[emoji117]3.KUWA RAFIKI KWAKE NA MSAIDIZI WAKE
Mapambano Ya Furaha Ya Moyo wa Mkeo Hayatofanikiwa Isipokuwa Kwa Weredi Wako wa Kushiriki kwako.
Juwa Kuwa Mkeo naye Ni Mwanadamu Huwa Anachoka na Anahitaji Mapumziko,
Jitahidi kwa Kadri ya Uwezo wako Kumsaidia Mke Baadhi ya Shughuli za Ndani Kwako.

Hata Kama Huwa Hazimchoshi wala Kumuumiza; Lakini Jua Kumsaidia kwako Kutazigusa Hisia Zake na Kuyanyanyua Mapenzi yake. Cheka naye, Taniana naye,

Mpe kila Anachostahili maana Huyo Ni Mkeo.

[emoji117]4.JIWEKE KARIBU NA MWILI WAKE.
Mume juwa Kuwa "Wewe ni Vazi kwa Mkeo naye ni Vazi kwako Wewe"

Iweke Mikono yako Urafiki wa Karibu na Mwili wa Mke Wako,
Mkumbatie Mkeo Kila Uingiapo Ndani Kwako. Na Usiiweke Mbali na Mwili Wake Pale Mzungumzapo, na Kijaalie Kichwa Chake Kuwa ni Halali ya Kifua Chako.

Kuwa Msaidizi Wa Kuusafisha Mwili wake Pale Muogapo na Kumpaka Mafuta yake kwa Mikono yako.
na Usiache Kumvalisha Mavazi yake Pale Mmalizapo kuoga.
Na stress apewe nani?
 
Back
Top Bottom