Brother mpe mkeo vitu hivi atafarijika

Brother mpe mkeo vitu hivi atafarijika

Dogo ndo kwanza una 27 , kiufupi hauwajui wanawake dogo.
 
Amani ya Moyo Wa Mwanamke ni Kitu Cha Thamani Mno Katika Maisha ya Mwili wake na Akili yake na Pia,
ni Kitu Pekee na Zawadi ya Hali ya Juu inayompa Faraja na Kumdhihirishia Ishara Ya Upendo,
Mahabbah,
Hubba na Kuthaminiwa.

Na Wala Haridhishwi na Kero,,
Ubabe,
Kufokewa kila Wakati na Kudharauliwa Mara Kwa Mara,
na Kuonekana Kuwa Nafasi ya Thamani yake Kwa Mume Wake ni ya Hadhi ya Nyama ya Mbwa mfu,
Hadhi Isiyoguswa
,Isiyonuswa,
Isiyosogelewa wala Isiyoshikiliwa Kutokana na Uchafu wake na Unajsi wake. Usiwe Hivyo Ndugu yangu.
Kila Unapomuumiza Mkeo Katika Hisia Zake,,
Basi Hupururuka Amani ya Moyo Wake.

MFANYIE HAYA MKEO KUANZIA LEO.

[emoji117]1.TENGA MUDA WA KUKAA NAYE.
Kama haukuwa na Utaratibu wa Kuketi Sehemu tulivu na Mkeo Mkazungumza Yaliyo ndani ya Mioyo yenu kabla Hata ya Kulala kwenu,
Basi Jua Umeshautia Madoa Moyo Wake na Kuzikwaruza Hisia Zake.
Tenga Muda wa Kukaa na Mkeo Hata Kwa Dk10,,
Ukisikilize Alichonacho nawe Umpe Ukichonacho.

[emoji117]2.KILAINISHE KINYWA CHAKO JUU YAKE.
Kuwa na Maneno Matamu na Lainiii yaliyojawa Mahabbah na Hubba la Mazungumzo Yenye Upole wa Mawimbi Kila Mara Uzungumzapo na Mke Wako.
Kamwe Usiwe ni mtu Wa Kufoka foka Juu yake,,,
Hata Akikukosea Mweleze Makosa Yake kwa Upole na Mahabbah ya Hali ya Juu, Atakuelewa Wala Hatokupuuza,,
na Utafurahika Moyo wake na Hatokuchoka Ndani ya Moyo wake.
Lugaha Tamu yenye Upole Inaeleweka Mno kwa Mke Wako Kuliko Kufoka Kwako.

[emoji117]3.KUWA RAFIKI KWAKE NA MSAIDIZI WAKE
Mapambano Ya Furaha Ya Moyo wa Mkeo Hayatofanikiwa Isipokuwa Kwa Weredi Wako wa Kushiriki kwako,
Juwa Kuwa Mkeo naye Ni Mwanadamu Huwa Anachoka na Anahitaji Mapumziko,,
Jitahidi kwa Kadri ya Uwezo wako Kumsaidia Mke Baadhi ya Shughuli za Ndani Kwako.
Hata Kama Huwa Hazimchoshi wala Kumuumiza; Lakini Jua Kumsaidia kwako Kutazigusa Hisia Zake na Kuyanyanyua Mapenzi yake. Cheka naye, Taniana naye,
Mpe kila Anachostahili maana Huyo Ni Mkeo.

[emoji117]4.JIWEKE KARIBU NA MWILI WAKE.
Mume juwa Kuwa "Wewe ni Vazi kwa Mkeo naye ni Vazi kwako Wewe"
Iweke Mikono yako Urafiki wa Karibu na Mwili wa Mke Wako,
Mkumbatie Mkeo Kila Uingiapo Ndani Kwako,
Na Usiiweke Mbali na Mwili Wake Pale Mzungumzapo,
na Kijaalie Kichwa Chake Kuwa ni Halali ya Kifua Chako,
Kuwa Msaidizi Wa Kuusafisha Mwili wake Pale Muogapo na Kumpaka Mafuta yake kwa Mikono yako,
na Usiache Kumvalisha Mavazi yake Pale Mmalizapo kuoga.
Wao wenyewe hawajui exactly wanachohitaji, utakuja kukunikumbuka
 
Rekebisha namba 3
3. Kuwa rafiki yake na kiongozi wake.
Women hate weak men.
 
Unaweza ukafanya hayo yoooote ila kama anakuona wewe ni bamia utabaki kuwa bamia tu, mambo yake anamalizia huko anakojua.
 
Yote haya kina nikki wa2 wamefanya lakini wapii!

Countrywide
 
achana na hao viumbe bro
hao ndo viumbe hatari kuwahi kutokea katika uso wa dunia
ishi nae kidikteta asione hata jino lako
sasa wew jifanye na uromantic wako utawakubal
 
Mleta mada kashakamatika sasa anatuletea ufundi wake na wenge la kuwekwa kibindoni ngoja yamkute atautafuta huu uzi.
 
Back
Top Bottom