Sio fresh kuchukua mchepuko anayemjua mkeo. Tuwalindie heshima yao angalau

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Kama mnavyoelewa wanawake na umbea plus kurushana roho ni kama pete na kidole so unapomchukua mchepuko mwenye kumjua mkeo tambua atamdharau sana huku akimsema vibarazani kwa michepuko wenzake na mabwana zake wwngine wanaokufahamu wewe.

Kinachofuatia ni wife wako kujua siku moja na itampatia doa ndani ya nafsi yake.

Kama mke wako ni special kwako sana, kumuheshimu sio tu pale kama mko nae bali pia ni kuonesha wengine kuwa yeye ni wa thamani.

Tujifunze kuweka mipaka ya matamanio ya hisia zetu
 
Mabinti wapewe uelewa tangu wadogo kua mchepuko ni udhalili, mama mkanye mwanao ata kama na wewe pia ni mcheps hauoni kwenye urithi haumo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom