Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.
Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.
Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)
This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Dewji atakuwa baniani huyo. Mabohora hawafananii hivyoHakuna watu wabaguzi kama Mabohora( dewji nae) Hawa wanawabagua hata wahindi wenzao na kwao ni najisi kuoa au kuolewa na mtu nje ya bohora
Acha wivu wewe hao wanatamaduni zao afu ubaguz hata sisi weusi ni wabaguz sana tu kuna ubaguz had wa ki kabila . Fanya kaz acha keleleHao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
It is a big deal kwa sababu wako KWETU kama kwao au kwingine haina wasi lakini kwetu halafu wenyeji hatupo inakuwaje...?Mtoa mada amesema ilikuwa ni birthday. Birthdays tunaalika marafiki wa karibu na yy labda hana hao marafiki weusi. Na pia tunawafahamu hawa watu weupe walivyo! Why tulazimishe ukaribu nao! Ndivyo walivyo hawataki mazoea na watu weusi kwa sababu wanazozijua wao. So its not a big deal..
MO kimwili yupo Tanzania Kiroho yupo India kibiashara yupo Mozambique ni ngumu kudondoka alishasoma alama za nyakati muda mrefu tofauti na Manji.MO anajiona mighty, but he shall fall too! Mama Tanzania amewachoka matapeli kama hawa!
Unalazimisha urafiki yeye hataki kwanini mlazimishe?It is a big deal kwa sababu wako KWETU kama kwao au kwingine haina wasi lakini kwetu halafu wenyeji hatupo inakuwaje...?
Una akili sana mkuuUmeleta habari itokanayo na picha.
Picha umeificha kwapani.Nawaachia wenye ujasiri wa kukomenti juu ya kitu wasichokiona.
Una matrafiki a kihindi wangapikuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.
Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.
Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)
This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
We huwajui Waarabu, au hujaishi kwao au unazungumzia kwa ajili ya upendeleo wa Dini au utamaduni..Yeyote aweza kuwa mbaguzi ama wa kabila au wa rangi na hata elimu na mali. Kuna ubaguzi wa taifa na maeneo pia . Ila kijumla mara nyingi weupe huwabaguwa weusi kwa kudhani tu labda weupe una ubora dhidi ya weusi. Kwa makabila wabaguzi namba moja duniani ni wayahudi, pili wahindi, tatu wazungu (kwa baadhi ya mataifa) na mwisho ni waarabu. Waarabu wamekuwa nafuu kidogo kwa sababu ya evolution kwamba yasadikiwa asili zao za kale zilitokea Afrika, lakini pia kwenye dini ya kiislam ambayo waarabu wengi huifuata ni Haramu kufanya hata ishara ya ubaguzi na dhambi iliyo kubwa sana.
Unajua we una argue kwenye ufinyu sana hatuzungumzii urafiki hapa au hujasoma uzi unasemaje...?Unalazimisha urafiki yeye hataki kwanini mlazimishe?
Kuna kitu kinaitwa private party iwe sherehe Ya harusi, kipaimara, maulid, Birthday etc sio kila sherehe unatakiwa ualike kila mtu au kila mnyama awe paka au ngedere anaishi eneo lako au la kazini kwako. Leave dewji alone please. Hiyo ni private party ya yeye na nduguzekuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.
Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.
Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)
This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Kwa sababu haupo indiaMimi mweusi sina rafiki muhindi hata mmoja.
Haya basi. Nabaki na mtazamo wangu. Baki na wako. Kwenye biashara zake kawashirikisha..birthdays mwachieni aamue mwenyewe. Ni mtazamo wangu tu.Unajua we una argue kwenye ufinyu sana hatuzungumzii urafiki hapa au hujasoma uzi unasemaje...?