Brother Mo Dewji, seriously??

MBONA KUNA WATANZANIA WEUSI KIBAO WANA MAKAMPUNI LAKINI TOP EXEC WOTE NI WEUSI HAWAJAWAAJILI WAHINDI LAKINI WAHINDI HAWALALAMIKI?


NINAVYOAMINI MIMI MO ASINGEFIKA HAPO ALIPO KAMA TOP EXEC WOTE WANGEKUWA WEUSI
BELIEVE ME OR NOT
 
Ww ulipokuwa na birthday party ulimwalika? Au ulialika wahindi wangapi? Je kuna mtu alikuchagulia watu wa kualika?
 
Hao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
Unataka wamuoe Dada yako au mama yako mdogo?nipo hapa Mimi bachela
 
Katika orodha ya vyeti feki umemkuta muasia yeyote ?
 
Bahati mbaya na ww ni libongo
 
kaka usimpangie cha kufanya, madhali si mtumishi wa serikali usimpangie mwenzio cha kufanya.

mbona haujaanzisha thread kumlaumu R. Mengi kujaza wachaga wengi IPP Media??
 
Picha hiyo hapo
 

Attachments

  • IMG-20170509-WA0060.jpg
    62.9 KB · Views: 55
Hao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
Chawa wanawasha jamani
 
Siku zote ukiwa mbaguzi utatizama kila jambo kibaguzibaguzi tu!. Na usipoona viashiria vya ubaguzi kwa kuwa wewe mwenyewe ni mbaguzi, basi vile vimelea vya ubaguzi vinaweza kukusukuma Katika kujibagua.
 
Nmeona ni kwel. Anaubuguz kumbe huyu bwana wakati pesa anachuma kwetu. Achen kumbe Rais awanyooshe.
 
Labda ilifanyikia India
 
Ubaya anao utendea nchi yetu, 40 yake iko mlangoni! Na wewe kibaraka kuwa mzalendo, duh! Unatia aibu!
Watu wamekalia ohh tz tajiri..
.tajir mav ya kuku..watu tumekalia mali,madini hatuchimbi,ardhi hatuilimi,mito ,maziwa bahar hatutumii,mbuga zimelala af mnakuja kumwombea njaa Mo...mfano mi nimehangaika na eneo moja lenye industrial minerals,lesen tuu ya uchimbaji,hizo changamoto nilizopata,.nmejuta,namii ni mtanzania halisia kabsaa,.yan watu wakiona unawekeza yan wanataka matatzo yao yoote utatue wew.hiz ardhi za vijij jaman umiliki wake urud serikal kuu tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…