Brother Mo Dewji, seriously??

Brother Mo Dewji, seriously??

Wahindi,waarabu na wachina ni wabaguzi sana. Nashangaa sana NHC mpaka magufuli kasema nyumba zisiwe na wapangaji wa rangi fulani tuu.

Kwake MO kama mfanyabiashara itamletea shida sana hana diversity ndio maana kuna nchi huwezi kukuta wahindi wengi kama westafrica

Kwangu mimi ni mwiko haswaa kuajiri mbongo kwenye kiwanda changu. Nitafirisika once

Wabongo most of them wanawazaga wizi tu. Kwenye kazi zero
 
Huwezi kuajiri mbongo halafu hujaweka controls. Lazima angiingia ofisini ana clock in akitoka ana clock out. Ukimpa gari lazima car track na logbook ku manage asipige nyoka mafuta. Akiumwa sicksheets to support excused from duty

Ofisini ni lazima umuwekee 24hrs survaillance cams
 
MODS FUTA HUU UZI WA UCHONGANISHI.
open your head mkuu, dont argue like a kid, zanzibar wasingepromote diversity kwa sasa ile nchi ingejaa waarabu matajiri na maskini weusi

au mpaka leo Marekani ingeendeleza sheria za waafrika ni inferior and unproductive tusingekuwa na kina Dr curson
Huwezi kusema eti kwa sababu tu kampuni ni yako then ujaze wahindi wenzako na kuwa undermine wasomi weusi.

poor you
 
kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.

Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.

Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)

This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Msimpangie JAMANI.HELA ANATAFUTA MWENYEWE MNAMPANGIA WA KUWAAJIRI.
 
Makanjibhai ni wabaguzi sana wakiwa tz wanabagua ukienda kwao wanabagua
Mnawachekea,mie hajatokea mtu wa KUNIBAGUA hapa Bongo,
Yaani anibague na namuona au namskikia!!Never.
Na ndo ntandhihirishia kuwa alikosea sana,na ulimwengu utajua tu
 
Katika sisi tuliopo hapa nani anayo biashara akamuajiri mtanzania mwenye asili ya Asia?
Hii kawaida sana ukenda ukimkuta mhaya ataajiri posti zote kuu katika kampuni yake wahaya. It's the way it is .ukenda arabuni mambo ni hayo hayo ..sioni la kushangaza
Case Study TFF YA JAH MALI
Mali-Inzi
 
Mtu mweusi ni kama cobra,si wa kufanya naye mazoea maana ndiye kiumbe anayeongoza kwa ubaguzi duniani!Leo hii si ajabu kuona mbunge mweusi Sweden lakini kuona mbunge mzungu hapa kwetu ni vigumu sana.Maneno atakayokutana nayo ya ubaguzi ni mazito mno!Kwenye BSS tu mlimnyima ubingwa mzungu kichaa japo watu walimpigia kura,halafu wewe unasema nini?
Wabunge wahindi wapo.
Ila India hakuna Mbunge Mweusi.
 
Hivi huko serikalini kuna muhindi kwenye nafasi za uongozi?
Kuna Mbunge muhindi, anatokea mitaa ya Arusha/Manyara.
Mkapa alimteua mama wa Kihindi akawa waziri wa Viwanda na Biashara (nimemsahau jina)
 
Watanzania au Watu weusi hatuwezi kusaidaida wenyewe kwa wenyewe.
Tungekuwa tuna bebana na tuna bebeka Sahizi tungekuwa mbali sana hata uchumi wa nchi ungeimarika

tuendelee kama zamani kushobokea wa asia wakati wao hawana mpango na sisi
 
Wahindi pigeni kazi msitishike bhanaa. Sisi watanganyika ndivyo tulivyo tunapenda mno kulalama tukipewa kazi tunaifanya kama ya baba zetu. Hapo hapo tunawaza kuiba.
 
open your head mkuu, dont argue like a kid, zanzibar wasingepromote diversity kwa sasa ile nchi ingejaa waarabu matajiri na maskini weusi

au mpaka leo Marekani ingeendeleza sheria za waafrika ni inferior and unproductive tusingekuwa na kina Dr curson
Huwezi kusema eti kwa sababu tu kampuni ni yako then ujaze wahindi wenzako na kuwa undermine wasomi weusi.

poor you

Weusi pamoja na usomi wetu but ha2na advantage yoyote katika kazi.

Zanzibar ingelikuwa chini ya nchi moja ivi inapatikana huko uarubuni inaitwa OMAN naamini ingelikuwa juu mno kimaendeleo. Alakini serikali yetu imewabana kisawasawa ikihofia tanzania yetu itapigwa bao na pengine watakosa misaada.
 
kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.

Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.

Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)

This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY

Watanzania mnajidanganya. Wahindi tunaishi nao bado wanatuona sisi untouchable. Wanatudharau, hawawezi kuchanganikanya na sisi, wamejenga kisiwa chao katikati ya nchi yetu. Wengi wapi hapa kutufilisi tu. Hii sio racist huu ni ukweli tupu. Ukiwa na cheo na wanajuwa watakutumia kuiibia nchi yako na ndugu ZAKO, watakubeba kama mfalume, ngoja ushuke, mhindi atakukwepa kama hakujuwi. Lakini tunawaamini, tenda zote kubwa za mabillioni wanapewa na huku wengi wao wanauraia zaidi ya mmoja. Africa ni mahali pa kuchuma tu, pesa zao uswiss.
 
kuwa na rafiki muhindi ni tofauti na kuajili muhindi??

Muhindi hana unafiki na mwafrika, atakuwa na urafiki tu kama Ana kutumia kupata kitu. Mwafrika ni second class citizen, untouchable. Jaribu kutowa kwenye familia yake afadhari ajinyonge.
 
Kwani mwenye asili ya tanzania ni yupi,ilhali makabila mengi ni wahamiaji,hao wahindi ni watanzania kama wewe tu wengine ukute ni 3rd to 4rth generation wako hapa vizazi na vizazi,sasa huwezi lazimishia mtu awe na diversity unayoitaka wewe,utanzania sio rangi ya ngozi mkuu,hii mipaka imewekwa na wazungu
 
Back
Top Bottom