jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
Arabs and Black are good for nothing more than making noise and blaming!!...kuna Picha imesambaa mitandaoni ikimuonyesha MO akisherekea birthday yake na top executives wake ofisini kwa kukata keki.
Ofcourse, KUKATA keki si habari, ila cha kushangaza ni kwamba katika hao TOP EXECS wote ni wenye asili ya ASIA, hakuna mtanzania mwenye asili ya hapa TANGANYIKA hata mmoja.
Mo seriously?? huna top execs watanganyika asilia?? au hakuna wanao qualify kuwa katika team yako ya juu?? au hukuwaalika kukata keki hata mmoja( i doubt this)
This can not be muted, i thought you where a good man of diversity .......SERIOUSLY
Vipi wewe mahindi yako ushayapalilia?h
Hivi nyie mnaolalamika mmeajiriwa na Mo? Mambo ya ngoswe muachieni ngoswe mwenyewe kapalilieni mahindi kabla mvua hazikata msije lia njaa mkasema tena mbona Mo yuko dining table na wanawe tu wakati watoto wa jirani wanalia njaa
WerevaThat is not a point..
Tumeona mightys wakidondoka with a blink of an eye! Anyway ata jiju na Mungu wake!MO kimwili yupo Tanzania Kiroho yupo India kibiashara yupo Mozambique ni ngumu kudondoka alishasoma alama za nyakati muda mrefu tofauti na Manji.
Ni jambo la kufunga na kuomba Mwenye Enzi Mungu atufungue fikra zetu! Asante kwa kuliona hilo!Juzi tu hapa tulikuwa tunamtetea TAPELI Yusufu Manji mpaka povu linatutoka, tena yeye Kaimport kabisa ma EXECUTIVES toka INDIA ambao hawana hata WORKING PERMITS lakini tumemporomoshea MATUSI Mazito AFISA UHAMIAJI Kwa kuwakamata leo mnakomaa na Mo. Mibongo/Mijitu myeusi haijielewi na hata watu weupe wote wanalijua hilo maana hayajui hata yanataka nini !
Mimi wahindi ndio wanaoniweka mjini huu mwaka wa tatu sasa! Hata pesa za kununulia gari yangu ya kwanza nilizipata kwa huyo huyo Mo Dewji...Mimi mweusi sina rafiki muhindi hata mmoja.
Wahindi wapo wachache, especially tz sio origin yao kama mtz mwenyewe, so brother mo dewji lazima awape watanzania nafasi
sasa kosa liko wapi?
Ukitaka watakuoa tu, we jipake poda.Hao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
Mimi mweusi sina rafiki muhindi hata mmoja.
Ulishwahi mwona mhindi polis au mjeshi?Hao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila