Broiler sio kuku wa kula kabisa!!

Broiler sio kuku wa kula kabisa!!

Ni mazoea tu, kuna watu hawawezi kula kitimoto cha kuchemsha au supu yake ila kitimoto ya kukaanga au choma wanafakamia, kuna wengine wanakula kitimoto ya kuchemsha na supu yake vizuri tu.

Umenikumbusha wale wanaopiga supu ya kongoro na masikio ya mnyamaa kasongooo
 
Ni mazoea tu, kuna watu hawawezi kula kitimoto cha kuchemsha au supu yake ila kitimoto ya kukaanga au choma wanafakamia, kuna wengine wengi wanakula kitimoto ya kuchemsha na supu yake vizuri tu.
Shida ya broiler anawiva mara moja. Yaani ukimuweka tu kwenye moto kdg keshanyambuka nyambuka. Sasa useme uweke na maji kwa ajili upate supu utakula uji wa kuku mana minofu yote inavurugika. Supu ya kuku ni kwa kuku wa kienyeji tena awe mpevu kiasi mana huwa anawiva taratibu huku anatoa supu yenye ladha
 
Inategemea na ufugaji..

Ukizingatia ufugaji na kuwapa chakula kizuri kwa muda mrefu pasipo kujali gharama, nyama yake huwa inakuwa si teketeke.

Sema kwa sababu za faida wakulima wengi wanachoangalia ni faida kuku wa week 4.
 
Shida ya broiler anawiva mara moja. Yaani ukimuweka tu kwenye moto kdg keshanyambuka nyambuka. Sasa useme uweke na maji kwa ajili upate supu utakula uji wa kuku mana minofu yote inavurugika. Supu ya kuku ni kwa kuku wa kienyeji tena awe mpevu kiasi mana huwa anawiva taratibu huku anatoa supu yenye ladha
Ukimpika kwenye electric pressure cooker utatoa chakula kitamu sana kinaitwa chicken porridge ...
 
Ndio, watu wengi sana wanakula supu ya mdudu vizuri tu.
Bongo tu ndio huwa watu wengi wanapenda kitimoto kavu, sehemu kubwa ya dunia wanakula kitimoto mchuzi na kitimoto mchemsho.
Kwa sisi tuliokulia nyumba zinazofuga nguruwe supu tumekunywa ni tamu hasa supu ya kongoro
 
Hawa kuku sio wa kuwala kabisa, leo nilijaribu kunywa supu yake kama ilivyo supu ya kuku wa kienyeji nilijaribu supu ya Broiler duuh yaani ni kinyaa wakuu

Bila kuwekwawekwa viungo kwa wale wapika chipsi hawa sio kuku kabisa

Kuku wasio na baba wala mama!!

Hawa kuku marufuku nyumbani kwangu!!
Vijana wa mjini ndio hauwaambii kitu. Hao kuku mimi wamenishinda kwa kweli yaani mtu kama unakula sponchi. Nipo kijijini kwa mama angu wiki sasa huku ni hauwezi kukuta broiler, ni mwendo wa kuku wa kienyeji yaani awe wa kukaanga, kuchoma au supu mtu unakula nyama unapata ile radha halisi ya kuku. Kwenye sekta ya chakula kwa kweli mjini tunazulumiwa sana, vyakula halisi vipo huku kijijini.
 
Back
Top Bottom