Broiler sio kuku wa kula kabisa!!

Broiler sio kuku wa kula kabisa!!

Hawa kuku sio wa kuwala kabisa, leo nilijaribu kunywa supu yake kama ilivyo supu ya kuku wa kienyeji nilijaribu supu ya Broiler duuh yaani ni kinyaa wakuu

Bila kuwekwawekwa viungo kwa wale wapika chipsi hawa sio kuku kabisa

Kuku wasio na baba wala mama!!

Hawa kuku marufuku nyumbani kwangu!!
Kaka usisingizie Bloila imawezekana mkeo ni kimeo hajui kupika.
 
Hawa kuku sio wa kuwala kabisa, leo nilijaribu kunywa supu yake kama ilivyo supu ya kuku wa kienyeji nilijaribu supu ya Broiler duuh yaani ni kinyaa wakuu

Bila kuwekwawekwa viungo kwa wale wapika chipsi hawa sio kuku kabisa

Kuku wasio na baba wala mama!!

Hawa kuku marufuku nyumbani kwangu!!
Kuku wanao ota moto
Uliona wapi kuku anaota moto?
 
Hawa kuku sio wa kuwala kabisa, leo nilijaribu kunywa supu yake kama ilivyo supu ya kuku wa kienyeji nilijaribu supu ya Broiler duuh yaani ni kinyaa wakuu

Bila kuwekwawekwa viungo kwa wale wapika chipsi hawa sio kuku kabisa

Kuku wasio na baba wala mama!!

Hawa kuku marufuku nyumbani kwangu!!
All EU ndiyo kuku wetu hawa, ndiyo protein nafuu mno!
 
Hawa kuku sio wa kuwala kabisa, leo nilijaribu kunywa supu yake kama ilivyo supu ya kuku wa kienyeji nilijaribu supu ya Broiler duuh yaani ni kinyaa wakuu

Bila kuwekwawekwa viungo kwa wale wapika chipsi hawa sio kuku kabisa

Kuku wasio na baba wala mama!!

Hawa kuku marufuku nyumbani kwangu!!
Mnatuchanganya sisi wengine hatubagui chakula kwanza ni zambi kuacha chakula.
 
Broiler inasemekana akila wiki nane ananenepa saa yoyote anapata mshtuko wa moyo anakufa.
hii si kweli , kuna kipindi nilikuwa nafuga sana kuku miaka hiyo ya 2005 nikishauza broiler wakiachwa wachache wale waliodumaa kidogo nawatoa nawachanganya na kuku chotara enzi hizo kenbro, wanakaa humo hadi wili 12 au miezi 5 wanakomaa vizuri kabisa na wanakuwa wakubwa kg 3 na wanazoea hadi kuvuruga mabustanini huko
 
Wenzetu huko nje wanatumia hao kuku kwa ajili ya chakula Cha mifugo mingine, watanzania wameona ni chakula safi Cha kutumia yaani shida tu...utaona vijana wapo busy kupaka pilipili mala limau ndimu ili tu wapate radha wakule😄
 
Back
Top Bottom