Bro to Bro. Never call a broo loser because it’s ur winning season.View attachment 3682146
The brotherhood always dream 💭 .
Mkuu haya matunguli yanafanya nini tena hapa!Bro be Private. Accept the loneliness and fix your life.View attachment 3682143
Hakika wale washkaji waliutendea haki uanaume wao, siku hizi wanaume tumekua soft sana ndio maana unakuta mtu anachukuliwa mchana kweupe na watu tunaangalia tuIle ndege iliyokua inatoka Dubai kwenda Tel Aviv km kusingekua na wapambanaji ambao wakisikia nyoookaaa nyoooookaa wanaanza kusaka fimbo marungu na matofali kwenda kukabiriana na nyoka sasa hivi ungesikia habari kuna ndege imeanguka Saudi Arabia na abiria 171 wa Israel ikiwemo rubani wamekufa