Britanicca ndio wewe? Unajisikiaje sasa?

Britanicca ndio wewe? Unajisikiaje sasa?

Regime Change imetokea ndio maana IRGC wanafichama na wale viongozi wao wenye mdomo wamewahishwa kwa Mabikira 72 na mito ya pombe

Kina Abbas aragachi, Galibaf hao ni upande wa serikali ,sio kundi la kigaidi la IRGC

Hao Trump alimwambia ISRAEL wasiuawe maana ni moderate na wanafaa kwa mazungumzo

Akili yako imekudanganya Regime Change lazima itoke nje ya Iran 😂

Regime Change ni kule kuwa na viongozi watakaokubali matakwa ga USA

Kama tunavyoona Uranium itasafirishwa kwenda WASHINGTON

Iran isidhamini makundi ya kigaidi kama Hezbollah,houth

N.k
Kweli mmefilisika, kwahiyo aragarchi au spika wa bunge wana uwezo wa kucontrol jeshi na Ayatollah? Aisee we jamaa hamna kitu kabisa. Kubali tu Trump kachemka walichofanya afghan na Iraq kimefeli iran

Kingine usipotoshe eti Israel haikutaka kuwauwa, walikoswa koswa kuuwawa wakiwa Islamabad.
 
Trump amesema wazi Marekani itachukua ‘nuclear dust’ na Iran imekubali mambo mengi kwenye mazungumzo. Hata kama Iran inakanusha hadharani, fact kwamba wanajadili kuachia uranium inaonyesha wameingia kwenye pressure.

Hiyo ndiyo real regime change kubadilishwa kwa nguvu ya taifa, sio lazima kuondolewa kwa serikali.
We hujitambui kama Trump wako, yeye anasema "nuclear dust" maana yake imebaki waste tu sio enriched uranium. Sasa tujiulize unaweza ukaondoa vikwazo vya uchumi kwa kupewa "nuclear waste"?
 
Kwani vita ilianza sababu ya hormuz au ni kung'oa utawala wa Ayatoolah
vita haina macho, walipoona US anaendelea kuwatandika,wakaamua mashikilie sehemu muhimu zaidi kwa US, NDIO maana umeona hiyo hormus ndiyo imesabisha vita kusimama kwa muda
 
vita haina macho, walipoona US anaendelea kuwatandika,wakaamua mashikilie sehemu muhimu zaidi kwa US, NDIO maana umeona hiyo hormus ndiyo imesabisha vita kusimama kwa muda
Sasa ni failure kwa USA na Israel maana vita ilikua ni kuondoa utawala wa Ayatollah na kuzuia nuclear bomb yote hayo mawili yamefeli sasa mjadala umekua Hormuz as if ndio ilikua lengo la vita.
 
Hormuz imefungwa tena leo hii kijana. Meli iliyobeba mafuta yanayoelekea India ililazimisha kupita ikalipuliwa. Meli 34 zimegeuza zilipotoka.
Tutafika Tu Mkuu
Sasa Imefungwa Acha Wafanye Majadiliano
Ingawa Vita Ni Mbaya Na Hatuitaki
Miamba Ifikie Muafaka
 
Back
Top Bottom