Naona tofauti na mwanzo. Kutwa anapost mara 3 na zote ni pumba kihoja.
Tofauti na enzi za mwanzo. Akitoa hoja ukumbi unawaka kwa hoja.
Tumuokoeni anaweza kuchanganyikiwa. Trump kamchanga.
Hivi sasa anacheza ngoma ya Trump. Hafanyi tena analysis. Kawa sawa na gazeti la uhuru kwa ccm . Sawa na...
Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa.
Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC.
Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa...
Moja kwa moja.
Mimi ni muumini wa ushahidi, habari zozote bila ushahidi wa uhakika na wa kuamika huwa nazikataa moja kwa Moja au naiweka katika kundi la tetesi na kuzifanyia uchunguzi ili kujua ukweli na uhalisia wa habari yenyewe kwa uhakika.
Siku za karibuni kumekuwa na wimbi la watu wengine...
Mwamba Britanicca JF person at the moment anaendelea kuwa maarufu kila kukicha jamvin baada ya kutabiri vema Nape na January kutumbuliwa nyadhifa zao za waziri na Rais Samia baada ya ziara ya kiserikali Kativa.
Lakini kwa umakini wake kwenye nyuzi zake lakini huu uzi alioposti tarehe Nov 15...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.