Priceless soul
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,484
- 1,727
kumrahisishia asomeList ya vitabu hiyo hapo
1. Currency trading for Dummies
2. Astrofx (The art of technical Analysis)
3. Naked forex
4. My forex trading bible
5. Forex godfather
6. Japanese Candlestick charting techniques
7. Trading in the zones
8. How to Trade with price action
9. The ultimate price action trading guide
Ukishavimaliza vyote.....download metatrader 4 kwa pc yako....kisha download Metatrader 4 user guide kutoka google....jifunze jinsi ya kutumia Mt4 platform kwa kutumia user guide uliyodownload kutoka google.
Fungua demo account na demo kwa atleast week mbili....ukishamalizia ulizia Jangid plaza ni wapi...ukifika ulizia ofisi za TMT...ukifika pale fanya mbinu yoyote upate training ya week moja tu kuhusu forex trading.
UKISHAMALIZA HAYO YOTE RUDI HAPA UTUAMBIE KAMA FOREX NI KAMARI AU LA.
KILA LAKHERI BI SHOSTY
1.CURRENCY TRADE FOR DUMMIES BY BRIAN
AKIMALIZA ...
2.TECHNCAL ANALYSIS FOR FINANCIAL MARKET BY JOHN MURPHY(hiki kitamu kwa analysis utajiona wewe boss wa dunia)
then go to live account kabisa(coz unavyosoma upo ktk demo)...
WARUD LIABILITY JF
Sent using Jamii Forums mobile app